• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

ZIARA YA RC MWASSA WILAYA YA MISSENYI

Posted on: August 7th, 2023

Leo tarehe 07/08/2023 Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amefanya ziara ya siku moja katika Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya kukagua Miradi ya Maendeleo, kufanya vikao vya ndani na watumishi wote pamoja na kufanya mkutano ya hadha na wananchi wa wilaya ya Missenyi.

Akiwa Wilayani Missenyi amepongeza jitihada za wilaya haswa katika kushirikiana vizuri kati ya Mkuu wa Wilaya na  Halmashauri katika ukusanyaji wa mapato hadi kuvuka malengo Pamoja na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.

‘’Niwapongeze kwani nimetembele miradi ya maendeleo kwakweli ni mizuri sana na nampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani kama alivyosema Mwenyekiti wa Halmashauri kwamba kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 Halmmashauri ilipokea zaidi ya bilioni 09 za miradi ya Maendeleo’’ Alisema Hajjat Mwassa.

Hata hivyo alipongeza juhudi za ukusanyaji mapato hadi kuvuka lengo la ukusanyaji hadi kufikia asilimia 127 na kuilekeza Halmashauri kuanza kufikiria  kufanya uwekezaji katika miradi ya kimkakati ili kuongeza makusanyo Zaidi Pamoja na kuwataka wananchi kuongeza kilimo cha kahawa kwani Halmashauri inatoa miche ya Kahawa bure na mwaka huu imetenga milioni 32 kwa ajili ya kununua miche hio.

Kwa upande wake katibu tawala wa Mkoa wa Kagera Ndg. Thoba Nguvila ameitaka halmashauri kuhakikisha wanaweka kipaumbele katika kupunguza au kumaliza kabisa madeni ya watumishi kupitia makusanyo ya ziada walioyapata.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Adv. John Paul Wanga alisema mkakati wake kwasasa ni kuongeza ukusanyaji Zaidi kutoka bilioni 6.2 ya mwaka uliopita  hadi kufikia bilioni 8 kwa mwaka huu wa fedha 2023/2024.

‘’Mheshimiwa mkuu wa mkoa mimi nimedandia tuu gari sifa zote zinastahili kwa walikuwepo ila mimi ni mgeni hivyuo niwapongeze wataalamu wangu wote kwani wamenionyesha mwanzo mzuri na uelekeo mzuri wa kuyafikia malengo ya Halmashauri yetu.

Ziara hii ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera imehitimishwa leo katika Wilaya ya Missenyi baada ya  kuzunguka katika wilaya zote za Mkoa wa Kagera.


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA FEDHA TSHS MILIONI 580 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI BUGANGO KATIKA KATA YA KAKUNYU July 17, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) MWAKA 2023 July 13, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA MADEREVA July 04, 2023
  • TANGAZO LA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA UTAKAOFANYIKA KUANZIA TAR 02/07/2023 HADI 03/07/2023 June 27, 2023
  • Tazama zote

Habari mpya

  • RC MWASSA: TUNATAKA KUWA KATIKA ORODHA YA MIKOA KUMI BORA KIUCHUMI

    September 18, 2023
  • MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6 IMEKAGULIWA NA MWENGE WA UHURU 2023 WILAYA YA MISSENYI.

    August 11, 2023
  • MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 26.3 KUMULIKWA NA MWENGE WA UHURU 2023 MKOANI KAGERA.

    August 08, 2023
  • MAPATO : TUMEVUKA MALENGO KWA ASILIMIA 127 KWA MWAKA 2022/23

    August 04, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • JINSI YA KUOMBA MKOPO KUTOKA BODI YA MKOPO
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa