• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

TUNAKAGUA MIRADI NA SIO KUTEMBELEA MIRADI

Posted on: January 27th, 2026

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe. Phocas Rwegasira ameendelea kusisitiza na kuwataka wasimamizi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kuhakikisha wanazingatia ubora, thamani ya fedha na kubakiza fedha za miradi na sio kumaliza na kuomba kuongezewa fedha ili kukamilisha miradi.

Amesema hayo wakati wa ziara ya kwanza ya Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayofanyika kwa siku mbili katika tarafa ya Kiziba na Missenyi kuanzia Januari 26 na 27, 2026 ambapo jumla ya miradi 12 yenye thamani ya shilingi bilioni 7.42 katika sekta za elimu na afya na uwekezaji imekaguliwa.

"Tunapokea fedha nyingi kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo tunapaswa kuzingatia ubora na vipimo sahihi kwa kuzingatia ramani na sio kujenga kwa mazoea na kushindwa kukamilisha mradi au kujenga chini ya kiwango". Alisema Mheshimiwa Phocas.

Katika ziara hiyo aliwataka pia wasimamizi wa miradi kuhakikisha fedha iliyotolewa inakamilisha mradi na kubakia kwani kuna baadhi ya vifaa kama vile mbao vinapatikana kwa bei nafuu ndani ya Mkoa wa Kagera ukilinganisha na Mikoa mingine kama Singida, Dodoma na maeneo mengine.

Aliongezea kuwa katika maeneo ya kutolea huduma panahitaji maboresho, hivyo fedha zinazobaki pindi mradi unapokamilika ni vyema kuomba kubadili matumizi yake na kuongeza miundombinu muhimu kama miundombinu ya kuhifadhi maji na umeme.

Hata hivyo alimuagiza Mhandisi wa ujenzi wa Halmashauri kuhakikisha vifaa vya kukagulia miradi pamoja na ramani za ujenzi vinakuwepo katika eneo la mradi wakati wa ukaguzi wa mradi.

Aidha, Wajumbe wa kamati walipongeza hatua za miradi iliyokaguliwa kwa kusimamiwa vizuri na kwa ubora.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. John Paul Wanga aliwataka watekelezaji wa miradi kuzingatia maelekezo yanayotolewa na wataalamu pamoja na Ushauri wa kamati ili kukamilisha miradi kwa ubora na ndani ya muda kama walivyokubaliana.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 05, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TUNAKAGUA MIRADI NA SIO KUTEMBELEA MIRADI

    January 27, 2026
  • NANAUKA AIPONGEZA MISSENYI KUTAMBUA UMUHIMU WA VIJANA KATIKA UKUAJI WA UCHUMI

    January 26, 2026
  • WALIMU MISSENYI WAPATIWA MAFUNZO KUWAHUDUMIA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    January 16, 2026
  • WADAU WA MAENDELEO MISSENYI WAPEWA ELIMU KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 13, 2026
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa