• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Historia ya Missenyi


Utangulizi

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ni moja kati ya Halmashauri nane za Wilaya za Mkoa wa Kagera.   Halmashauri hii ilianzishwa tarehe 1, Julai, 2007 baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba kugawanywa katika halmashauri mbili (Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na Halmashauri ya wilaya ya Bukoba).

Idadi ya Watu

Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 idadi ya wakazi wa Wilaya ya Missenyi ni  245,394 ikiwa 120,995(ME) 124,399(KE)  

Eneo

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi upande wa Kaskazini inapakana na nchi ya Uganda, Mashariki inapakana na Wilaya ya Bukoba Vijijini, Kusini inapakana na Wilaya ya Karagwe na Magharibi inapakana na  Wilaya ya Kyerwa. 

Eneo la Halmashauri Wilaya ya Missenyi liko upande wa Magharibi mwa Ziwa Viktoria. Eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ni 2709 km².

Mgawanyo wa Utawala

Kiutawala Wilaya ya Missenyi imegawanyika katika Tarafa Mbili (Missenyi na Kiziba) ,Kata 20, Vijiji 77 na Vitongoji 356.

KATA
KATA
KATA
KATA
Bugandika
Bugorora
Buyango
Bwanjai
Gera
Ishozi
Ishunju
Kakunyu
Kanyigo
Kashenye
Kassambya
Kilimilile
Kitobo
Kyaka
Mabale
Minziro
Mushasha
Mutukula
Nsunga
Ruzinga


Hali ya Hewa

Maeneo ya Wilaya hupokea mvua mara mbili kwa mwaka; Kwenye mwambao wa Ziwa Viktoria mvua hufikia hadi Milimita 1,400 na 2,000 kwa mwaka, kwenye Nyanda za Juu Kati ya 1,000 na 1,400mm na upande wa Magharibi kiwango hushuka hadi 600 na 1,000mm kwa mwaka. 

Usafiri

Hali ya Barabara ya kiwango cha lami inayounganisha Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na maeneo mbalimbali kama Halmashauri ya Bukoba, Karagwe na Nchi jirani ya  Uganda. Aidha barabara zingine za kiwango cha Changarawe zinazounganisha maeneo ya Kata, Vijiji na Vitongoji zinapitika kwa kipindi chote cha Mwaka mzima.


ORODHA YA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI TANGU MWAKA 2007 HADI SASA

NA
JINA KAMILI
WADHIFA
MWAKA WA KUINGIA 
MWAKA WA KUTOKA
1
Dr. I. MTALO
DED
JULAI 2007
AGOSTI 2011
2
I . MBENJE
Ag. DED
AGOSTI 2011
APRILI 2012
3
E. KITUNDU
DED
APRILI 2012
JUNI 2016
4
Eng. M. KILAWILA
Ag. DED
JULAI 2016
JUNI 2017
5
M. LIMBE
DED
JULAI 2017
AGOSTI 2018
6
INNOCENT  MUKANDALA
DED
AGOSTI 2018
AGOSTI 2021
7
WAZIRI K. KOMBO
DED
AGOSTI 2021
JUNI 2023
8
JOHN P. WANGA
DED
JUNI 2023
MPAKA SASA



Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa