• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA MAENDELEO MISSENYI WAPEWA ELIMU KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE

Posted on: January 13th, 2026

Leo Januari 13, 2026 Wadau wa maendeleo Wilayani Missenyi wameshiriki katika kikao kazi cha kujengeana uwezo na uelewa juu ya uanzishwaji wa Bima ya Afya kwa wote.

Akifungua kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi mkubwa wa Halmashauri, Mgeni rasmi ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mhe. Kanali (Mst). Hamis Maiga amesema kwamba, uanzishwaji wa Bima ya Afya kwa wote ni hatua mojawapo katika uimarishaji wa sekta ya afya ambayo itasaidia kupunguza mzigo wa gharama matibabu kwa wananchi, kuongeza usawa katika upatikanaji wa huduma za afya na kuimarisha uendelevu wa mifumo ya ufadhili wa huduma za afya nchini.

Aidha, amewataka Wadau wakuu wa utekelezaji wa Sheria hii, hususan Mganga Mkuu wa Halmashauri, Waganga Wafawidhi wa Vituo vya kutolea huduma za afya na Wadau wote wa afya kuhakikisha wanajifunza, wanaelewa na kushirikiana katika kutekeleza mpango huu kwa manufaa ya wananchi.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Kagera, Bw. Desderius Buhiye akiwasilisha Mpango wa Bima ya Afya kwa wote amesema kwamba, uanzishwaji na utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa wote, unatarajiwa kuanza rasmi mwezi Januari 2026 kwa awamu ya kwanza kwa makundi maalumu yasiyokuwa na uwezo yakiwemo ya wazee, watoto chini ya miaka 5, wajawazito na watu wenye ulemavu.

Aidha, ameongezea kuwa kuanzishwa kwa Bima ya Afya kwa wote ni sehemu ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya maendeleo 2025 - 2050 ya kuhakikisha kila Mtamzania anapata huduma Bora za Afya bila vikwazo vya kifedha.

Uanzishwaji na utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa wote ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya siku 100 za kuimarisha huduma kwa wananchi.

Awali, Novemba 13, 2025, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alisema Serikali ilikuwa inajiandaa kuanza majaribio ya mfumo huo kama sehemu ya mageuzi makubwa ya sekta ya afya hapa nchini.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 05, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WADAU WA MAENDELEO MISSENYI WAPEWA ELIMU KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 13, 2026
  • DC MAIGA AWATAKA WAZAZI WASICHOKE KUWAPA WATOTO MLO KAMILI

    November 20, 2025
  • DED MISSENYI ALETA KLINIKI YA ARDHI KATIKA KATA YA KYAKA NA MUTUKULA

    November 19, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI

    October 26, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa