• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DC MAIGA AWATAKA WAZAZI WASICHOKE KUWAPA WATOTO MLO KAMILI

Posted on: November 20th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mheshimiwa Kanali Mstaafu Hamis Maiga amewataka wazazi kuwapatia watoto wao mlo kamili bila kuchoka kwani mlo kamili huleta afya njema


Hayo yamesemwa katika maadhimisho ya siku ya lishe kitaifa yaliyofanyika katika shule ya msingi Bunazi 'A' katika kata ya Kassambya leo Novemba 20, 2025.


"Niwasihi wazazi tusichoke kuwapatia watoto wetu mlo kamili wenye makundi sita ya vyakula kwani lishe bora hulinda afya za watoto na kusaidia kuepukana na changamoto za utapiamlo" alisema DC Maiga.


Alisisitiza kwamba chakula kinacholiwa leo kina amua uwezo wa kusoma na kufikiri katika kutimiza ndoto za kesho pamoja na kuisihi jamii kuhakikisha inakula vizuri, kunywa maji ya kutosha sambamba na kushiriki kwenye michezo ili kujenga mwili imara na wenye afya.


Aidha, aliitaka jamii nzima kwa ujumla kupunguza ulaji wa sukari nyingi na vyakula vya kukaanga ambavyo vina madhara kwa afya za watoto na hata watu wazima.


Kwa upande wake Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Dkt. Daniel Chochole amesema kwamba serikali iliamua kuja na siku hii maalum ijulikanayo kama 'Siku ya Lishe Kitaifa' ili kukumbuka mafanikio na kuendeleza juhudi katika kukabiliana na matatizo yanayosababishwa na lishe duni.


"Utapiamlo wa aina yoyote ni tishio kwa maendeleo ya rasilimali watu na gharama kubwa zinazotokana na utapiamlo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ninkikwazo kwa uwekezaji katika elimu na afya" alisema Dkt. Chochole.


Maadhimisho haya hufanyika kila ifikapo tarehe 29 hadi 30 Mwezi Oktoba lakini kwa mwaka huu yalisogezwa mbele ili kupisha zoezi zima la Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na majukwaa ya kuadhimisha siku hii kwa mwaka 2025 ni pamoja na shule, vyuo, katika maadhimisho ya siku ya afya ya lishe ya Kijiji pamoja na vyombo vya Habari.


Maadhimisho hayo yameambatana na zoezi la kuotesha miti ya matunda na kukagua mashamba kwa ajili mazao lishe kama Mahindi, maharage, Mboga za majani na Viazi lishe yanayolimwa katika shule za serikali kwa ajilia ya chakula cha wanafunzi.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA KARANI, WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI October 10, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC MAIGA AWATAKA WAZAZI WASICHOKE KUWAPA WATOTO MLO KAMILI

    November 20, 2025
  • DED MISSENYI ALETA KLINIKI YA ARDHI KATIKA KATA YA KYAKA NA MUTUKULA

    November 19, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI

    October 26, 2025
  • BILIONI 3.4 ZA RAIS SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA WILYA YA MISSENYI

    October 16, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa