• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

BILIONI 3.4 ZA RAIS SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA WILYA YA MISSENYI

Posted on: October 16th, 2025

Na Salimu Ramadhani - MISSENYI DC

Katika kuimarisha huduma za Afya katika Wilaya ya Missenyi, Serikali ya awamu ya sita imetoa jumla ya shilingi bilioni 3.4 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Mpya ya Wilaya ya Missenyi ili kuimarisha huduma za afya Wilayani humo.

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya umefikia asilimia 98 huku ukijujmuisha majengo 12 ambayo ni Jengo la Utawala, Upasuaji, Dawa,Kufulia,Maabara, Mionzi, Upasuaji, Jengo la Wagonjwa wa nje, Wagonjwa wa Dharura, Wodi ya Wanawake, Wanaume na Wodi ya Watoto.

Aidha, mpaka sasa Hospitali hio imeshapokea vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 800, watumishi 39 na huduma za awali zimesha anza kutolewa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. John Paul Wanga akizungumza katika kikao kazi kilichoikutanisha Timu ya Menejimenti ya Halmashauri na kamati ya usimamizi wa huduma za Afya ngazi ya Wilaya (CHMT) alimpongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha hizo kwa ajili ya ujenzi na ununuzi wa vifaa tiba ili kuboresha huduma za afya katika Wilaya ya Missenyi.

“Naishukuru sana Serikali ya awamu ya sita kwa kutatua changamoto ya kufuata huduma kwa umbali wa wastani wa kilomita 80 hapo awali hadi kufikia wastani wa kilomita 40 kwa sasa na hali hii itapunguza vifo vya mama na mtoto kutokana na kupatikana kwa huduma kubwa zaidi ambazo tulizikosa kwenye vituo vya afya.” Alisema Bw. Wanga

Aidha, Bw. Wanga aliwataka wataalam kuhakikisha wanasimamia Pamoja na kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha huduma lengwa inamfikia mwananchi kama serikali ilivyokusudia.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa Halmashauri ya Missenyi Dkt. Daniel Chochole alisema Hospitali yetu inatarajia kuhudumia wakazi wapatao 245,394 huku wakinufaika na uwepo wa huduma za upasuaji, kupungua kwa gharama za matibabu ukilinganisha na huduma walizokua wanapata katika Hospitali binafsi Pamoja na kupunguza vifo vya mama na mtoto vitokanavyo na uzazi.

Ikumbukwe kwamba hapo awali wananchi wa Wilaya ya Missenyi walikua wanapata Huduma za Hospitali ya Wilaya kutoka Hospitali Binafsi ya Mugana iliopo takribani kilomita 80 kutoka makao makuu ya Wilaya.

Tarifa Kwa Umma

  • KUITWA KWENYE USAILI WA KARANI, WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI October 10, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BILIONI 3.4 ZA RAIS SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA WILYA YA MISSENYI

    October 16, 2025
  • WAZEE WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUDUMISHA AMANI NA KUHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA

    October 01, 2025
  • HALMASHAURI YAWAKUTANISHA WADAIU WA KILIMO NA TAASISI ZA KIFEDHA

    September 24, 2025
  • WAKAZI 7,562 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI MUTUKULA

    September 10, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa