• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WAZAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A

Posted on: June 5th, 2025

Wazazi Wilayani Missenyi wahimizwa kujitokeza na kushiriki katika kampeni ya utoaji wa matone ya Vitamini A kwa watoto wote wenye umri kuanzia miezi 6 hadi 59.

Hayo yamesemwa na Katibu Tawala Wilaya ya Missenyi Bi. Mwanaid Mang'uro leo Juni 05, 2025 wakati wa ufunguzi wa Kampeni hiyo uliofanyika katika Kituo cha Afya Bunazi.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Missenyi Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi katika hafla hiyo ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mhe. Kanali (Mst) Hamis Maiga, amewahimiza wazazi kujitokeza kwa wingi katika kampeni hiyo.

"Naomba niwahimize wazazi, walezi na hata majirani, toa taarifa, shiriki, saidia na tujitokeze kwa wingi kwenye kampeni hii ya utoaji wa Vitamini A, kwani ni jukumu letu sote kulinda afya ya mtoto wa Kitanzania", amesema Bi. Mwanaid.

Ameongezea kuwa ni vyema wazazi kuhakikisha watoto wao wanapata huduma hii ili kuwa na Taifa lenye afya njema na nguvu kazi ya badae.

"Kumbukeni, kinga ni bora kuliko tiba. Ni vyema tuchukue hatua leo kuwalinda watoto wetu dhidi ya maradhi ya kesho, endapo tukikumbatia kampeni hii kwa pamoja, tutakuwa tumeweka msingi thabiti wa Taifa lenye afya njema na nguvu kazi ya badae", ameongezea Bi. Mwanaid.

Awali akizungumza katika ufunguzi huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. John Paul Wanga amewataka wazazi waliofika katika ufunguzi wa kampeni hiyo kuwa mabalozi wazuri wa kuwahimiza wenzao kushiriki pia katika kampeni hiyo.

"Niwaombe sana ndugu zangu nyinyi mliofika kwa uwakilishi wa Wanamama wengine ambao wako nyumbani, basi mkitoka hapa mkawe Mabalozi wa kuwahamasisha na wao waweze kushiriki vyema", amesema Bw. John Wanga.

Kampeni hii ya siku 30 iliyoanza rasmi Juni 01, 2025 itahusisha utoaji wa matone ya ziada ya Vitamini A, dawa za minyoo ya tumbo na upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wote wenye umri kuanzia miezi 6 hadi 59, na huduma zote zinatolewa bure katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • WAZAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A

    June 05, 2025
  • UFUNGUZI SOKO LA NDIZI NA STENDI GERA, NEEMA KWA WANANCHI WILAYANI MISSENYI

    May 31, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANA MISSENYI

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa