• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

UFUNGUZI SOKO LA NDIZI NA STENDI GERA, NEEMA KWA WANANCHI WILAYANI MISSENYI

Posted on: May 31st, 2025

Leo Mei 31, 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imefungua rasmi Soko la ndizi na Kituo cha mabasi madogo Gera ikiwa na lengo la kusogeza huduma kwa wananchi na kuwasaidia kuendesha soko kwa ajili ya mazao mbalimbali ya kilimo na mifugo na kuongeza pato la mwananchi.

Akisoma taarifa ya mradi huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi, Afisa Mipango wa Halmashauri Bw. Julian Tarimo amesema kwamba, katika mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri katika jitihada zake za kuongeza mapato ilibuni na kuanzisha miradi ya kimkakati mmoja wapo ukiwa mradi wa Soko la ndizi na stendi katika Kata ya Gera.

Ambapo katika mwaka wa fedha 2023/2024 na 2024/2025 Halmashauri ilitenga Shilingi Milioni 45.5 kwa ajili ya kuanza mradi huo.

Ameongezea kuwa utekelezaji wa mradi huo umehusisha shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulipa fidia ya shamba na makabuli manne yaliyokuwa katika eneo husika, usafishaji, usawazishaji, uwekaji kifusi, ushindiliaji, ujenzi wa karavati 2, ujenzi wa mtaro wa maji na ujenzi wa choo matundu 4 na uvutaji wa maji kufika eneo la mradi kwa ajili ya matumizi ya choo na wananchi vimefanyika hadi kufikia hali hii inayoonekana kwa sasa.

Kwa upande wake Mgeni rasmi katika ufunguzi huo ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho amemshukuru Diwani Kata ya Gera Mhe. Henry Bitegeko kwa kuwa mstari wa mbele katika kufuatilia utekelezaji wa mradi huo.

Aidha, amewataka wananchi wa Kata ya Gera kuzalisha mazao ya kutosha na kukuza soko.

"Tumekuja kufungua soko hili na tunategemea lifanye kazi, hivyo jiandaeni kuzalisha mazao ya kutosha na kugeuza soko hili liwe kama mnavyoona soko la Bunazi", amesema Tegamaisho.

Pia, amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhakikisha uwekaji taa za sola katika soko hilo unafanyika kwa haraka.

"Yapo mengi Wafanyabiashara wameyasema, nadhani Kaimu Mkurugenzi cha kwanza wakati mnashughulikia kuleta umeme, tuanze na sola za haraka hapa, tuondoe giza ili watu wafanye kazi muda wote", ameongezea Tegamaisho.

Akitoa shukrani zake kwa wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa soko hilo Diwani Kata ya Gera Mhe. Henry Bitegeko amemshukuru Mwenyekiti na Halmashauri kwa ujumla kwa kuwapa mradi huo wananchi wa Kata ya Gera.

"Haya ni matunda ya ubunifu wako kwa kuendelea kuongeza vyanzo vya mapato ili kuleta unafuu wa maisha kwa Wanamissenyi na Wanagera kwa ujumla, tunashukuru sana", amesema Bitegeko.

Ufunguzi wa Soko la ndizi na stendi Gera ni fursa kwa wakazi wa Kata ya Gera, na Kata jilani za Kanyigo, Bwanjai, Kashenye, Ishunju na Ishozi.

Aidha, pamoja na shughuli zilizotekelezwa bado yapo mambo yanayotarajiwa kufanyika ili kuboresha Soko na kituo cha mabasi madogo ambayo ni ujenzi wa banda moja la ndizi na uwekaji wa taa mbili za sola kama mkakati wa muda mfupi wa kupata mwanga kabla ya kufuatilia uvutaji wa umeme wa TANESCO.


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UFUNGUZI SOKO LA NDIZI NA STENDI GERA, NEEMA KWA WANANCHI WILAYANI MISSENYI

    May 31, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANA MISSENYI

    May 16, 2025
  • WATENDAJI KATA NA VIJIJI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUTOA ELIMU YA LISHE KWA JAMII

    May 14, 2025
  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa