• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MPE MWANAO MATONE UOKOE MAISHA YAKE

Posted on: August 31st, 2022

Katika kuunga mkono jitihada za serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Wizara ya Afya  katika kudhibiti  ugonjwa wa polio, kuanzia tarehe 01 Septemba 2022 hadi 04 Septemba 2022 itafanyika kampeni ya awamu ya tatu ya kitaifa kwa watoto chini ya miaka mitano ili kuwakinga na ugonjwa wa Polio.

Katika Wilaya ya Missenyi hali ya uchanjaji chanjo ya Polio kwa Watoto chini ya miaka 5 awamu iliyopita iliyofanyika kuanzia tarehe 18 Mei 2022 hadi 22 Agosti 2022 tulifanikiwa kuchanja jumla ya watoto 55,277 sawa na asilimia 119.5 ambapo lengo lilikua ni kuwafikia watoto 46,257 kwa muda wa siku tano.

Kwa mujibu wa Maelezo ya Mganga Mkuu Wilaya ya Missenyi Ndg Daniel Chochole alisema kwamba awamu hii chanjo ya Polio inawahusu watoto wote walio chini ya umri wa miaka mitano wakiwemo wale waliochanja katika kampeni iliopita kwasababu hii ni nyongeza ya chanjo ya awali ili kuendelea kuimarisha uwezo wa kinga.

Amesisitiza kwamba watoto wote chini ya umri wa miaka mitano wanapaswa kuchanjwa kwani moja ya madhara ya ugonjwa huu ni kushambulia mfumo fahamu na kumuachia mtoto ulemavu wa kudumu au hata kupelekea kifo.

“Chanjo hii sio mpya ni sawa na chanjo inayotolewa siku zote na  hutolewa bure bila gharama yeyote hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kama walivyohamasika awali.” Alisema Chochole.

Kwa upande wake mratibu wa chanjo ya Polio Wilaya ya Missenyi Bw. Edward Kagari alisema Ugonjwa wa Polio umekuwa tishio kwa miaka mingi katika nchi nyingi duniani ikiwemo nchi ya TanzaniaKwa mara ya mwisho Tanzania ilipata mgonjwa wa Polio mwezi Julai 1996.

Katika siku za karibuni nchi ya Malawi ilitoa taarifa ya mgonjwa wa Polio mnamo tarehe 17 Februari 2022 na Mgonjwa huyo alipatikana katika mji mkuu wa Malawi unaojulikana kama Lilongwe.

Hadi kufikia mwezi wa sita 2022 ugonjwa wa polio umeendelea kusambaa katika nchi za Msumbiji na Zimbabwe hivyo kutokana na mwingiliano wa wananchi baina ya Tanzania na Malawi, Msumbiji na Zimbabwe kutokana na tathmini iliyofanyika na Wizara ya Afya na Shirika la Afya Duniani (WHO), nchi yetu ilionekana kuwa miongoni mwa nchi zilizo katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa polio endapo hatua madhubuti hazitachukuliwa.

Utolewaji wa chanjo hii katika wilaya ya Missenyi unaotarajiwa kuanza kesho utafanyika kwa kupita huduma tembezi yaani nyumba hadi nyumba kwa muda siku nne mfululizo katika Wilaya nzima kwa kutumia wachanjaji waliopangwa katika vitongoji vyote 356 vya wilaya ya Missenyi.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa