• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MIRADI YENYE THAMANI YA TSHS BILIONI 1.1 IMEKAGULIWA KWA ROBO YA KWANZA YA 2023/24.

Posted on: October 16th, 2023

Kamati ya Utawala, Fedha na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imeanza ziara ya siku mbili ya ukaguzi wa Utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/2024.


Ziara hii ya siku mbili imeanza leo tarehe 16 Octoba, 2023 katika tarafa ya kiziba na itaendelea kesho katika tarafa ya Missenyi ili kuhakikisha thamani ya fedha inakuwepo katika miradi yote inayotekelezwa.


Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho Akibainisha miradi itakayotembelewa katika tarafa ya Kiziba kwa siku ya kwanza ni pamoja Ukarabati wa Josho Kikukwe, Ujenzi wa Matundu ya vyoo 13 katika Shule ya Msingi Bweyunge yenye thamani ya shilingi milioni 39.4, Ujenzi wa Nyumba za Mwalimu (2 in 1) Kitobo Sekondari wenye thamani ya shilingi milioni 100 na Ujenzi wa Chuo cha Ufundi VETA Buyango ambapo kwa awamu ya kwanza wamepokea milioni 228.9 na ujenzi unaendelea.


Aidha alisema siku ya pili katika tarafa ya Missenyi kamati itatembele Mradi wa umaliziaji wa Wodi ya wazazi katika Zahanati ya Bulembo yenye thamani ya shilingi milioni 20 , Shamba la Kahawa la Mkulima aitwaye Johaness John katika kata ya Kilimilile , Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa na matundu 13 ya vyoo katika shule ya msingi Kagera kwa shilingi milioni 175.4, Ujenzi wa shule ya Sekondari mpya Bugango yenye kujumuisha vyumba 8 vya madarasa, maabara 03, Jengo la Utawala, Maktaba, TEHAMA na matundu 13 ya vyoo wenye thamani ya shilingi milioni 584.3 na kuhitimisha katika eneo la ujenzi wa maegesho ya malori Mutukula kwa kukagua ujenzi wa uzio kwa shilingi milioni 40.


"Nichukue nafasi hii kuishukuru Serikali kwani fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo inakuja kwa wingi na kazi yetu sisi Madiwani na Wataalamu ni kuisimamia ili thamani ya fedha ionekane kama ilivyokusudiwa" Alisema Mhe. Tegamaisho


Ombi letu kama kamati ni kuwatakq wananchi waendelee kuchangia miaradi pamoja na kuitunza ili lengo kusudiwa liweze kutimia


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa