• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YATOA MKOPO WA TSH. 92,150,000.00 KWA VIKUNDI 15 VYA VIJANA NA WANAWAKE

Posted on: October 23rd, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi leo tarehe 23/10/2020 imetoa mkopo wa Tsh. 92,150,000.00 kwa jumla ya vikundi 15,kati ya hivyo 10 ni wanawake na vikundi 5 ni vijana. Utoaji mkopo huu ni mwendelezo wa utaratibu ambao Halmashauri imekuwa ikifanya kila robo mwaka kwa kutoa mikopo kwa makundi ya vijana, wanawake na walemavu. Hii inafanya Halmashauri kuwa imetoa jumla ya kiasi cha Tsh. 665,596,840/=ndani ya kipindi cha miaka mitano ambapo jumla ya vikundi 298, vikundi 178 ni vijana, 105 ni wanawake na 15 ni walemavu.

Katika mwaka wa fedha 2020/ 2021 kwa robo ya kwanza july – Septemba 2020  Halmashauri imekopesha fedha kiasi cha Tsh. 82,750,000/= kwa vikundi 23, wanawake ni vikundi 18  vilivyokopeswa Tsh. 58,000,000/= ,vikundi vya vijana 4  vilivyokopeshwa Tsh. 21,750,000 na  kikundi 1 cha watu wenye ulemavu Tsh 3,000,000. Aidha   kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya mwamko wa ukopaji  mwaka hadi mwaka na Halmashauri imekuwa ikitimiza wajibu wake kwa kila mwezi kuweka asilimia kumi ya mapato ya ndani  katika akaunti ya Wanawake Vijana na watu wenye ulemavu.

Katika mikopo iliyotolewa leo, Jumla ya Pikipiki pikipiki 11 aina ya Bajaj Boxer zimetolewa kwa vikundi viwili ambavyo ni; Vijana bodaboda kutoka kata ya Kakunyu na UWEBU kutoka Bugandika. Vikundi vingine vilivyopata mkopo ni pamoja na Tweyambe Kilimilile(Kilimilile), Kazi na Malengo (Nsunga), Akatanyukwile (Minziro), KAOFACO (Bunazi), Bikolwa engozi (Nsunga), Funguka Buchurago (Bugorora), Maendeleo Rubale(Kyaka), Elimika Group (Kyaka) na Abagambakamoi(Gera). Vingine ni Kikundi cha Juhudi(Kassambya), Wanawake Tuinuane (Kanyigo), Riziki (Kyaka) na Mtazamo Rwamachi(Buyango).

Picha: Baadhi ya wanufaika wa mkopo wakifanya majaribio ya Pikipiki walizopewa

Akisoma taarifa ya utoaji mikopo hiyo, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Beatrice Sanga amesema  Baada ya mikopo hii kutolewa tunatarajia manufaa mbalimbali kwenye vikundi husika na jamii kwa ujumla. Manufaa hayo ni pamoja na kupanua mitaji,upatikanji wa ajira,kuongeza uzalishaji wa bidhaa ili kukidhi hitaji la soko,kupunguza kama siyo kuondoa vitendo hatarishi vya uzululaji na magenge ya uvivu na kupunguza umaskini. Vilevile Halmashauri itaongeza vyanzo vyake vya mapato vinavyoelekeana na ujasiliamali.

Bi. Sanga ametaja baadhi ya mafanikio yaliyo yaliyopatikana hadi sasa ni pamoja na: Halmashauri imeweza kutoa mafunzo kwa viongzi wa vikundi kwa vikundi  85 juu ya utunzaji wa fedha ,ujasiliamali  na maandiko ya miradi  na utaratibu wa uombaji mikopo na usajili, Wanachama wa vikundi hivi wamepata ajira na utegemezi kwa wenza wao umepungua. Mafanikio mengine ni kuweza kupata mahitaji muhimu ya familia zao hasa kwa watoto wa shule kupanua wigo wa uelewa kwa kuongeza uzalishaji na kupanua miradi yao.

Nae Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Col. Denis Filangali Mwila ambae pia ndiye aliyekuwa mgeni rasmi wa hafla ya ugawaji mikopo  amewataka wanufaika wa mikopo kuwa waaminifu na wakatumie mikopo hiyo kujikwamua kiuchumi. Wakati huohuo Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Missenyi Ndugu Innocent Mukandala ametoa wito kwa vijana, wanawake na walemavu kuchangamkia fursa ya mikopo kwani kuna zaidi ya milioni 100 kwenye akaunti zinasubiri wakopaji.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa