• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

HAKIKISHENI WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA WANAFIKA SHULENI

Posted on: December 28th, 2023

Leo tarehe 28/12/2023 Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Missenyi Kanali Hamis Mayamba Maiga ameanza ziara yake ya siku mbili katika kata za Kakunyu na Mutukula kwa ajili ya kukagua miradi ya maendelo pamoja na kujitambulisha kwa wananchi wa Wilaya hio.


Zira yake Wilayani humo ni yakwanza tangu ahamie katika Wilaya ya Missenyi kufuatia uteuzi na uhamisho wa viongozi uliofanywa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mnamo tarehe 14/12/2023 ambapo Kanali Maiga alihamishwa kutoka Wilaya ya Rombo kwenda Wilaya ya Missenyi na Aliekua Mkuu wa wilaya ya Missenyi Mhe. Kanali Wilson Sakulo kuhamia Wilaya ya Ngorongoro.


Akiwa katika Kata ya Kakunyu Kanali Maiga alikagua Miradi miwili ambayo ni Shule mpya ya Sekondari ya Bugango iliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 580 kutoka Serikali Kuuu na kituo cha Afya Kakunyu kinachojengwa kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri chenye thamani zaidi shilingi milioni 500.


Akiwa katika shule ya Sekondari Kakunyu aliridhishwa na ubora wa utekelezaji wa mradi huu wenye Jengo lenye vyumba 02 vya madarasa, jengo lenye vyumba 02 na ofisi 01 ya walimu, Jengo la utawala, jengo lenye maabara ya Kemia na Bailojia, Jengo lenye Maabara ya Fizikia, jengo la Maktaba, Jengo la TEHAMA, Kichome taka, Tenki la Maji la ardhini na Jengo la Vyoo vya wanafunzi Wasichana lenye matundu 04 na Chumba maalum kwa wasichanana na Jengo la Vyoo vya wanafunzi wavulana lenye matundu 04 na vyoo vyote vikiwa na huduma kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.


"Naishukuru sana serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe.Rais Dkt. Samiah Suluhu Hassan kuamua kujenga shule hii katika eneo hili la Bugango kwani ni neema na heshima kubwa sana katika eneo hili la Bugango" Alisema Kanali Maiga.


Niwapongeze Halmashauri kwa kusimamia ujenzi huu kwani majengo yaliyokamilika  yapo katika viwango na ubora uliotakiwa na niwaelekeze Halmashauri wakakikishe mapungufu hayo  yanafanyiwa kazi ili ujenzi ukamilike kwa asilimia 100.


"Ombi langu kwa wananchi wa Bugango mnatakiwa kuhimiza watoto wote waliochaguliwa kuja katika shule hii  wanafika kama walivyochaguliwa , Shirikianeni na walimu kulinda na kuitunza miundo mbinu hii ya kisasa ili iweze kuwa endelevu na mwisho muwape ushirikiano walimu na watumishi wote watakaoletwa hapa ili lengo la wao kuletwa hapa liweze kuonekana kwa wakati na ubora uliokusudiwa na serikali" Alisema Kanali Maiga.


Kwa upande wake Mhe. Diwani wa Kata ya Kakunyu Richard Mbekomize kwaniaba ya Wanchi wa Kata ya Kakunyu alimshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa miundo mbinu ilioletwa katika kata ya kakunyu kwani imeondoa changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za elemu na afya katika Kata na nchi jirani.


Ziara  hii ya siku mbili ya Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Missenyi itaendelea kesho tarehe 29/12/2023 katika Kata ya Mutukula kwa kukagua Mradi wa ujenzi wa Mnada wa Nkerenge na kufanya kikao na viongozi wa Kata ya Mutukula.


Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa