• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI MISSENYI LAANZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA SONGWE NA MBEYA

Posted on: March 3rd, 2025

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi leo tarehe 03 Machi, 2025 limeanza ziara yake ya kikazi Mkoani Songwe katika Wilaya ya Momba yenye Halmashauri za Momba na Halmashauri ya Mji wa Tunduma na Mkoa wa Mbeya katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa ajili ya mafunzo ya njia mbalimbali za kuongeza mapato ya Halmashauri.

Akizunguza wakati wa kuanza ziara hio mapema leo,  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mheshimiwa Projestus Tegamaisho amebainisha kwamba tumekuja kufanya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata uzoefu wa mradi wa soko la mazao la kimataifa  uliopo Wilaya ya Momba katika Kata ya Ndalambo Kijiji cha Kakozi lililopo mpakani mwa Tanzania na Zambia ambalo linashabihiana na na mradi wetu mkubwa wa soko la kimkakati la Kabakesa linalotarajiwa kujengwa katika Kata ya Mutukula katika mpaka wa Tanzania na Uganda.

"Tunahitaji kujua mbinu zilizotumika kujenga na kuendesha mradi huu pamoja na namna Halmashauri inavyopata mapato kupitia mradi huu" Alisema Mhe.Tegamaisho

Aidha, Mhe. Tegamaisho alibainisha maeneo mengine ya kujifunza katika Halmashauri ya Momba ikiwa ni pamoja na mbinu zinazotumiwa na Halmashauri katika kufanikisha Kilimo cha Mazao mbalimbali hususani kilimo cha  Mahindi kwa kiwango kikubwa ambacho ndio chanzo kikubwa  kinacho ongoza kwa kuingiza mapato katika Halmashauri hio, Kujifunza namna Halmashauri inavyofadika kupitia muingiliano wa wananchi wanaotoka Zambia katika kata zilizopo mpakani, Kupata uzoefu juu ya uendeshaji miradi ya kimkakati kupitia mfumo wa SPV na kupata uzoefu wa uanzishaji na uendeshaji wa Machinjio ya Kisasa iliounganishwa na Mnada wa Mifugo.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. Egidius Kahendaguza amesema kuwa wanatarajia kujifunza Miradi ya uwekezaji kupitia njia ya Ubia au bila ubia, utaratibu unaotumika katika kuwekeza, vyanzo vya mapato vya miradi ya uwekezaji, namna Halmashauri inavyo wavutia wawekezaji,  changamoto za miradi ya uwekezaji na ufumbuzi wake na kujifunza mamba Halmashauri inavyojishughulisha na  maswala ya Machinga.

Ziara ya siku ya kwanza imekamilika katika Halmashauri ya Momba na siku inayofuatia ziara itaendelea katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma ambapo shughuli zinazofanyika katika mji huo kati ya Tanzania na Zambia zinafanana na shughuli zinafanyika katika Kata ya Mutukula katika mpaka wa Tanzania na Uganda.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UFUNGUZI SOKO LA NDIZI NA STENDI GERA, NEEMA KWA WANANCHI WILAYANI MISSENYI

    May 31, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANA MISSENYI

    May 16, 2025
  • WATENDAJI KATA NA VIJIJI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUTOA ELIMU YA LISHE KWA JAMII

    May 14, 2025
  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa