• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

ZIARA YA KWANZA YA RC CHALAMILA WILAYA YA MISSENYI

Posted on: August 13th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila leo tarehe 13 Agosti 2022 amefanya ziara katika Wilaya ya Missenyi  katika eneo Bunazi na Mutukula.

Ziara hio ya siku moja, Mkuu wa mkoa ameweza kufika kwenye shule ya Msingi Bunazi Green Acres inapofanyika Semina kwa washiriki wa zoezi la Sensa ya Watu na makazi na kisha kuelekea Mutukula katika kituo cha  pamoja cha forodha (OSBP - MUTUKULA).

Akiwa Bunazi alipokea taarifa ya semina inatayotakiwa kuendeshwa kwa siku 19 iliyoanza tarehe 31 Julai 2022 na kutarajiwa kuhitimishwa 18 Agosti 2022 huku kukiwa na washiriki  409 ambao kati yao ni Makarani, Wasimamizi wa Maudhui na TEHAMA.

Aliwasihi washiriki kuhakikisha kwamba wanatimiza majukumu walioaminiwa na kupewa kwani walikua wengi sana na waliokosa nafasi hizo wanalalamika na itakua jambo la ajabu kwa aliepata kutotambua umuhimu wa nafasi aliyopewa ya kuhakikisha Taifa linapata takwimu sahihi kwa ajili ya mipango ya Taifa kwa ujumla.


Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa akiwa katika kituo cha forodha cha pamoja (OSBP – MUTUKULA) kilichopo katika kata ya Mutukula aliwataka watendaji wa idara mbalimbali zilizopo mpakani hapo kuhakikisha wanakua na ushirikiano wa hali ya juu ili waweze kufikia malengo ya makusanyo yaliyokadiriwa kukusanywa katika mwaka wa fedha 2022/2023.

“Mhakikishe mnakua na vikao vya pamoja vya mara kwa mara ili kuweza kuondoa changamoto mbalimbali zinazoweza kuwa kikwazo baina ya nchi zote mbili” Alisema Chalamila.

Aidha aliwasisitiza watumishi wa kituo hicho kuhakikisha hawawi sehemu ya kikwazo kwa watumiaji wa mpaka huu ikiwemo kujiepusha na vitendo visivyoiridhisha kama vile rushwa, uingizwaji wa bidhaa zisizokidhi viwango pamoja na makadirio ya kodi yasiyokuwa na uhalisia hali inayoweza kuathiri mapato ya nchi.

Ikumbukwe kwamba hii ni ziara ya kwanza ya Mkuu wa Mkoa  katika Wilaya za Mkoa wa Kagera baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera hivi karibuni.


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA FEDHA TSHS MILIONI 580 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI BUGANGO KATIKA KATA YA KAKUNYU July 17, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) MWAKA 2023 July 13, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA MADEREVA July 04, 2023
  • TANGAZO LA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA UTAKAOFANYIKA KUANZIA TAR 02/07/2023 HADI 03/07/2023 June 27, 2023
  • Tazama zote

Habari mpya

  • RC MWASSA: TUNATAKA KUWA KATIKA ORODHA YA MIKOA KUMI BORA KIUCHUMI

    September 18, 2023
  • MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6 IMEKAGULIWA NA MWENGE WA UHURU 2023 WILAYA YA MISSENYI.

    August 11, 2023
  • MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 26.3 KUMULIKWA NA MWENGE WA UHURU 2023 MKOANI KAGERA.

    August 08, 2023
  • MAPATO : TUMEVUKA MALENGO KWA ASILIMIA 127 KWA MWAKA 2022/23

    August 04, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • JINSI YA KUOMBA MKOPO KUTOKA BODI YA MKOPO
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa