• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI MKUU: KITUO CHA AFYA KIFUNGULIWE NDANI YA SIKU TANO.

Posted on: September 23rd, 2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 23 Septemba, 2023 amefanya ziara katika Wilaya ya Missenyi katika Kituo cha Afya Cha Kakunyu na kwenye Kituo cha Pamoja cha Forodha kilichopo mpakani mwa Tanzania na Uganda.

Akiwa katika kituo cha Afya cha Kakunyu kilichopo katika Kata ya Kakunyu wakati akizungumza na wanachi Mhe Waziri Mkuu amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kupeleka vitendea kazi na vifaa tiba ili kituo kianze  kutoa huduma ndani ya siku tano.

Mradi huu wa Kituo cha afya cha Kakunyu umegharimu shilingi milioni 613  ikiwa fedha za mapato ya ndani ni shilingi milioni 523 na Serikali kuu shilingi milioni 90 na mradi huu unatarajiwa kuhudumia wakazi wapatao elfu 26 kutoka maneo mbalimbali ya Wilaya ya Missenyi

 ''Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kila baada ya miezi mitatu inapokea shilingi milioni 135 kwa ajili ya kununua dawa, hivyo fedha zipo na niwatake kukamilisha taratibu za ununuzi wa madawa na vifaa tiba ili huduma ianze kutolewa'' Alisema Mhe Majaliwa.

"Nawapa siku 5, jengo hili la mapokezi na magonjwa ya kawaida lianze haraka iwezekanavyo na muanze kuleta Samani, vitendea kazi na mpaka sasa Madaktari tayari wapo hapa, fedha za madawa zipo hivyo wananchi waanze kupata huduma," ameeleza Mhe. Majaliwa

Ameendelea kueleza kuwa Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha nyingi kwa Wilaya ya Missenyi ndani ya miaka miwili ikiwemo Shule, Barabara, Zahanati na Vituo vya afya vimejengwa na Umeme unaendelea kusambazwa katika Vijiji vyote na miradi ya maji imetekelezwa kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alidhamiria kumtua mama ndoo kichwani.

Amesisitiza juu ya utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji kwa kuwataka Serikali za Vijiji na kamati za mazingira kuahakikisha wanasimamia na kuchukua hatua kwa watu wanaoharibu mazingira na vyanzo vya maji ili Nchi iendelee kupata mvua na maji ya kutosha kwa matumizi ya majumbani, kilimo na mifugo.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi Dkt. Festo Dugange amemshukuru Waziri Mkuu kwa kufika na kutembelea kituo cha afya cha Kakunyu huku akieleza kuwa kwa Wilaya ya Missenyi, Rais Dkt. Samia ametoa shilingi bilioni 4.8 kwa sekta ya afya na kati ya hizo zimetumika zimetumika kujenga Hospitali ya  kisasa ya Wilaya ya Missenyi.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa