• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Watoto 2,046 wapatiwa chanjo Missenyi

Posted on: April 24th, 2017

HALMASHAURI ya Wilaya ya Missenyi , imefanikiwa kutoa chanjo mbalimbali kwa watoto 2,046 walio chini ya mwaka mmoja kuanzia mwezi Januari  hadi Machi,mwaka huu. Idadi hiyo ya watoto ni sawa na asilimia  116 ya kutoa chanjo mbalimbali kwa watoto 1,890 walio chini ya mwaka mmoja.

Hayo yamesemwa na Ofisa Chanjo wa Halmashauri hii, Edward Kagari wakati wa mahojiano maalum Alisema kila mwaka watoto hupoteza maisha kutokana na magonjwa yanayozuilika kwa njia ya chanjo.

‘’Hivyo basi, watoto wakipatiwa chanjo kikamilifu na kukamilisha kwa wakati, hawawezi kupata magonjwa yanayozuilika kwa chanjo kama nilivyosema hapo awali ‘’alisema Kagari.

Alisema kuwapeleka watoto kupata chanjo mwananchi atakuwa ametoa mchango wao katika kuiwezesha Tanzania kufikia malengo ya millennia ambayo ni pamoja na kupunguza vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

Ili kufanikisha utoaji chanjo nawaombeni  wananchi  wote kuhakikisha tunawapeleka watoto kwenda kupata chanjo kwa mujibu wa ratiba katika vituo vya huduma za afya. Kutopeleka watoto kupata chanjo kwa wakati ni kukiuka sheria na kanuni za Afya(Public Health Act 2009)  inayohimiza watoto kupatiwa chanjo kwa wakati” alisema Kagari

 Aidha alitaja baadhi ya mikakati ya kufanikisha zoezi la utoaji chanjo, kuwa ni kuimarisha huduma za mkoba ambazo hutumika kusogeza huduma ya chanjo karibu na wananchi, kufanya ufuatiliaji kwa watoto walio nyuma ya ratiba ya chanjo na kuhakikisha wanakamilisha chanjo zao, kuwataka Viongozi na wadau mbalimbali    kuwahamasisha wazazi kuwapeleka watoto wao kupatiwa huduma ya chanjo.

Alitaja mikakati mingine kuwa ni kusambaza dawa za chanjo na vifaa kwa vituo vyote, kuendesha kampeni za kitaifa pamoja na kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa chanjo kwa watoto chini ya mwaka mmoja.

Kwa mujibu wa Kagari, chanjo zinazotolewa na Halmashauri hii, ni dhidi ya Kifua kikuu, Homa ya Ini, kupooza,kifaduro, donda koo, surua , kichomi, pepo punda, mafua makali, uti wa mgongo na ugonjwa wa kuharisha.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA KARANI, WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI October 10, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC MAIGA AWATAKA WAZAZI WASICHOKE KUWAPA WATOTO MLO KAMILI

    November 20, 2025
  • DED MISSENYI ALETA KLINIKI YA ARDHI KATIKA KATA YA KYAKA NA MUTUKULA

    November 19, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI

    October 26, 2025
  • BILIONI 3.4 ZA RAIS SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA WILYA YA MISSENYI

    October 16, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa