• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WAJAWAZITO WATAKIWA KUTUMIA KWA WAKATI DAWA ZA KUONGEZA DAMU

Posted on: September 4th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mhe. Kanali Mstaafu Hamis Maiga leo 04 Septemba ,2025 ameongoza kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe kwa robo ya nne kilicho wakutanisha wajumbe wa kamati ya afya ngazi ya Wilaya , wakuu wa Divisheni na Vitengo, Maafisa lishe na Watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

Amesisitiza utoaji wa uji kwa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari,  Pamoja na kuzingatia utoaji wa chakula kwa shule za sekondari  na madarasa ya mtihani kwa shule za msingi kutokana na kuwa na masomo ya ziada ili kuinua kiwango cha ufaulu katika Wilaya ya Missenyi.

Aidha, amesisitiza matumizi ya dawa kwa wakati sahihi zinazotolewa kwa wajawazito kwa ajili ya kuongeza damu sambamba na kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuepuka madhara  kwa mtoto na mama wakati wa kujifungua.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa Halmaashauri ya Wilaya ya Missenyi Dkt. Daniel Chochole amewataka wajawazito kuhakikisha wanatumia dawa hizo kwani licha ya kuongeza damu pia husaidia katika kuimarisha uumbaji wa mtoto katika mfumo wa fahamu.

 “Wito wangu kwa akina mama wahakikishe wanafika Kliniki na wenza wao hususan katika kipindi cha Miezi mitatu ya mwanzo kwani wataalamu wanapata wakati mzuri wa kugundua madhara kabla ya kumuathiri mama au mtoto kabla ya kupata madhara” Alisema Dkt. Chochole

 Afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bi. Faustina Godwin amesema kuhudhuria kliniki ni muhimu kwa wajawazito lakini hata wale wenye matarajio ya kubeba ujauzito ili waweze kupata ushauri wa wataalam juu ya namna bora ya kujiandaa ili kuweza kubeba ujauzito na kupata mtoto mwenye afya njema.

 Akitoa Tathmini ya Mkataba wa lishe amewataka wananchi kuhakikisha wanatumia vyakula vilivyo ongezewa  virutubisho ikiwa ni Pamoja na urutubishaji wa mazao kama viazi lishe, mahindi lishe, maharage lishe ili kuboresha chakula cha Watoto kwa kuzingatia kanuni za afya.

Kikao hicho kimefanyika katika ukimbi mdogo wa mikutano uliopo katika ofisi za mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi.


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WAJAWAZITO WATAKIWA KUTUMIA KWA WAKATI DAWA ZA KUONGEZA DAMU

    September 04, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI NGAZI YA KATA WALA KIAPO

    August 04, 2025
  • MRADI WA LISHE SHULENI WAZINDULIWA MISSENYI

    July 22, 2025
  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa