• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

TIMU YA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YAKAGUA MIRADI 17 YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NDANI YA HALMASHAURI

Posted on: October 15th, 2020

Kwa muda wa siku mbili mfulululizo, timu ya menejimenti ya wilaya ikiongozwa na Mkurugenzi mtendaji Ndugu Innocent Mukandala imekagua jumla ya miradi 17 inayotekelezwa wilayani hapa. Ukaguzi huu ulilenga kuangalia maendeleo ya utekelezaji na kubaini changamoto zilizopo.

Miradi ilitembelewa ni kama inavyoonyesha hapo chini kwa mchanganuo wa kata.

KATA MINZIRO

Kati hii ina miradi miwili iliyotembelewa ambayo ni ujenzi wa Bweni la wanafunzi wa kIke kwa ajili ya kidato cha tano na sita. Mradi huu upo katika hatua ya kupiga lipu na unatarajiwa kugharimu kiasi cha Tsh. Milioni themanini tu kutoka mradi wa EP4R. Mradi mwingine ni ujenzi wa Chumba cha darasa shule ya Sekondari Minziro ambapo ujenzi huu utagharimu kiasi cha Tsh.20,000,000/ pia kutoka mradi wa EP4R

Picha: Kwa upande, Jengo la bweni la wanafunzi Minziro Sekondari

KATA KASSAMBYA

Kata hii pia ina miradi miwili inayoendelea kutekelezwa.  Mradi wa  ujenzi wa Vyoo bora matundu  2 , Urinal 1, WASH NA walemavu  Zahanati ya  Kakindo. Mradi huu upo hatua ya unyanyuaji kuta na utagharimu kiasi cha Tsh. 22,000,000/ kutoka mradi wa Sanitation – SRWSSP.

Mradi mwingine ni Ujenzi wa vyumba 5 vya madarasa shule ya msingi Bunazi (Kabwera). Mradi uko hatua mbalimbali zikiwemo hatua ya umwagaji jamvi la sakafu pamoja na uezekaji. Mradi huu utagharimu kiasi cha Tsh. 100,000,000/= kutoka mradi wa EP4R

KATA NSUNGA

Katika kata ya Nsunga  miradi inayotekelezwa ni kilimo cha Matunda kutoka kikundi cha vijana cha Uliza ujibiwe ambapo mradi huu unagharimu kiasi cha Tsh. 3,256,395 kutoka mapato ya ndani. Mradi huu upo katika hatua nzuri.  Mradi mwingine ni ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi Byamutemba. Mradi uko katika hatua mbalimbali za umaliziaji zikiwemo kupiga Skimu kupachika madirisha  pamoja na   kupiga rangi. Fedha zinazogharimia mradi huu ni kutoka mfuko wa EP4R.

Picha: Jengo la darasa Shule ya msingi Byamutemba

KATA MUTUKULA

Kata ya Mutukula ina miradi miwili inayoendelea kutekelezwa huku mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ukiwa umekamilika kwa kugharimu kiasi cha Tsh 40,000,000 kutoka mradi wa EP4R. Miradi inayoendelea ni Ujenzi wa Zizi la ng'ombe na kibanda cha kukusanyia ushuru mnada wa Nkerenge kwa gharama  ya Tsh. 8,000,000/= kutoka mapato ya ndani. Hatua ilipofikia ni kama inavyoonekana katika Picha. Mradi mwingine ni ujenzi wa vyoo bora matundu mawili, pia utagharimiwa na Sanitation – SRWSSP na unatarajia kugharimu kiasi Cha Tsh. 22,000,000. Ujenzi upo hatua ya unyanyuaji kuta.

Picha: Jengo la madarasa mawili Shule ya msingi Mutukula

KATA BUGANDIKA

Kata ya Bugandika, mradi pekee uliotembelewa ni Mradi wa ufugaji mbuzi wa maziwa pamoja  na kuku  kutoka kikundi cha Tuinuane Umoja wa Maendeleo. Kikundi hiki kina jumla ya mbuzi wa maziwa 32 pamoja na kuku 40. Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh. 4,000,000 kutoka mapato ya ndani ya ndani ya Halmashauri.

KATA KITOBO

Mradi uliotembelewa kwenye kata hii ni  mradi wa Ujenzi wa Bweni la Wanafunzi wa Kike kwa ajili ya Kidato cha Tano na Sita shule ya sekondari Bwabuki. Mradi huu umefikia hatua ya kufunga lenta na unatarajiwa kugharimu jumla ya kiasi cha Tsh. 80,000,000 kutoka mradi wa EP4R.

Picha: Maendeleo ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi Bwabuki Sekondari.

KATA BUYANGO

Mradi uliotembelewa kata hii ni mradi wa choo bora cha kisasa kinachojengwa zahanati ya Buyango. Mradi huu unajumuisha choo matundu mawili, Urinal 1, WASH NA Disable. Utagharimu kiasi cha Tsh. 22,000,000 kutoka mradi wa Sanitation – SRWSSP. Mradi huu upo hatua ya kuchimba shimo.

KATA YA RUZINGA.

Kata hii ina jumla ya miradi mitatu inayotekelezwa. Mradi wa kwanza ni mradi wa Ujenzi wa chumba kimoja cha Darasa pamoja na samani zake shule ya sekondari Ruzinga. Mradi huu umekamilika bado tu kuweka samani tu na umegharimu kiasi cha Tsh. 20,000,000/= kutoka mradi wa EP4R.

Picha: Chumba cha darasa Shule ya sekondari Ruzinga

Mradi wa pili ni mradi wa Ujenzi wa Nyumba moja ya waalimu (2in1)shule ya Sekondari Ruzinga.  Ujenzi wa nyumba hii  ya waalimu upo hatua ya unyanyuaji kuta na unatarajiwa kugharimu kiasi cha Tsh. 55,000,000 kutoka mradi wa EP4R.

Mradi wa tatu ni mradi wa Ujenzi wa vyumba viwili  vya madarasa na matundu sita 6 ya choo shule ya Msingi Ruhija. Mradi huu utagharimu kiasi cha Tsh. 46,000,000/= kutoka mradi wa EP4R

Picha: Vyumba vya madarasa Shule ya msingi Ruhija

KATA KANYIGO

Kata ya Kanyigo ina mradi mmoja unaotekelzwa. Mradi huu ni ujenzi wa Vyumba viatu vya Maabara  shule ya Sekondari Kigarama. Mradi huu upo katika hatua za ukamilishaji na hatua ilipofikia ni umaliziaji kwa kuweka vioo pamoja na ufugaji mifumo ya gesi na maji. Mradi umegharimiwa na Halmashauri jumla ya kiasi cha Tsh. 67,075,900 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri.

Picha: Jengo la vyumba vitatu vya maabara Shule ya Sekondari Kigarama

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa