• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MWENGE WA UHURU UMEPOKELEWA WILAYA YA MISSENYI

Posted on: October 10th, 2022

Mwenge wa Uhuru umepokelewa Wilaya ya Missenyi  ukitokea Wilaya ya Kyerwa leo tarehe 10/10/2022.


Mkuu wa wa Wilaya ya Kyerwa Mheshimiwa Rashidi Mohamed Mwaimu alimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo Mwenge wa Uhuru katika Shule ya Msingi Kyaka iliopo Kata ya Kyaka ambapo makabidhiano yalifanyika mapema leo asubuhi.


Mwenge wa uhuru ukiwa Wilaya ya Kyerwa  ulikimbizwa kilomita 55.5  na  miradi iliotembelewa, kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi ni jumla ya miradi 04 yenye thamani ya shilingi milioni 428.82.


Mwenge wa uhuru ukiwa katika Wilaya ya Missenyi utakimbizwa kwa umbali wa kilomita 91.3  kwa ajili ya kukagua, kutembelea, kuzindua na kuweka mawe ya msingi ya Miradi 04 yenye thamani ya shilingi Milioni 932.1


Mwenge wa uhuru siku ya leo utaanzia katika Mradi wa Maji wa Byamtemba - Byeju, pili Mradi wa Vyumba viwili vya madarasa shule ya Sekondari Bunazi, kisha kuelekea Mradi wa barabara ya Mabuye - Itara yenye urefu wa km 2.4 na kuelekea  Mradi wa usafi na Mazingira katika Kituo cha afya Bunazi na Mwisho kuelekea katika eneo la Mkesha katika uwanja wa Mashujaa.


Katika Mkoa wa Kagera tayari halmashauri za Ngara DC, Karagwe DC, Kyerwa DC,  wamekamilisha kukimbiza mwenge wa uhuru na leo ni zamu ya Wilaya ya Missenyi na baada ya hapo mwenge utaelekea  Wilaya ya  Bukoba DC, Muleba DC na mwisho kabisa Bukoba MC ambapo kilele cha kuhitimisha Mbio za mwenge kitafanyika tarehe 14/10/2022.


Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA KARANI, WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI October 10, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC MAIGA AWATAKA WAZAZI WASICHOKE KUWAPA WATOTO MLO KAMILI

    November 20, 2025
  • DED MISSENYI ALETA KLINIKI YA ARDHI KATIKA KATA YA KYAKA NA MUTUKULA

    November 19, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI

    October 26, 2025
  • BILIONI 3.4 ZA RAIS SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA WILYA YA MISSENYI

    October 16, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa