• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

MIRADI YENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 325.1 YATEMBELEWA KATIKA ROBO YA TATU

Posted on: April 18th, 2023

Kamati Fedha, Utawala na Mipango ikiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho leo tarehe 18 Aprili 2023 imeanza ziara ya siku mbili ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 325.1 katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023.

Akizungumza na kamati hio wakati wa ukaguzi wa miradi Mhe. Tegamaisho alisema miradi inayotembelewa vyanzo vyake vya fedha ni kutoka Mapato ya ndani pamoja na serikali kuu  na lengo kuu la kutembelea miradi ni kuona thamani ya fedha katika miradi  na hatimaye taarifa ya maendeleo ya miradi iliokaguliwa itawasilishwa katika baraza la madiwani linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Aprili 2023.

"Niwatoe hofu kwamba miradi yote katika Tarafa ya kiziba  tulioitembelea tumeiona thamani ya fedha na nichukue  nafasi hii kuwapongeza wasimamizi wote wa miradi hususani Walimu kwani wamefanya kazi kubwa na inayo onekana" Alisema Bw. Tegamaisho.

Kwa upande wake Afisa mipango wa Halmashauri ya wilaya ya Missenyi Bw. Julian Tarimo alieleza kwamba  jumla ya miradi itakayotembelewa kwa siku mbili,  kwa tarafa ya kiziba ni ukamikishaji wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya sekondari Gera (Tshs milioni 10), ukamilishaji wa bweni shule ya sekondari Bwanjai (Tshs milioni 25), ukarabati wa vyumba 02 vilivyoezuliwa na upepo katika shule ya Msingi Rutageruka( Tshs milioni 26), ukamilishaji wa vyumba 02 vya madarasa shule ya msingi Bugandika II (Tshs milioni 10) na ukamilishaji wa bweni la wanafunzi shule ya sekondari Ruzinga (Tshs milioni 25) na fedha zote ni kutoka mapato ya ndani.Aidha siku ya pili ziara itaendelea katika tarafa ya Missenyi katika miradi ya mapato ya ndani katika kitalu cha miche ya Kahawa na parachichi (Tshs milioni 7.9), ukamilishaji wa nyumba ya walimu ya  2 kwa 1 katika shule ya sekondari Bunazi (Tshs milioni 20), ujenzi wa eneo la maegesho ya malori Mutukula na ujenzi wa kalavati katika soko la mazao Mutukula (Tshs milioni 186) na Miradi ya serikali kuu ni Ujenzi wa matindu 06 ya vyoo katika shule ya msingi Itara (Tshs milioni 6.6), ujenzi wa nyumba ya walimu ya 2 kwa 1 katika shule ya msingi Itara (Tshs milioni 100) na Ukamilishaji wa chumba 01 cha darasa katika shule ya msingi Gabulanga

Tarifa Kwa Umma

  • MABADILIKO KATIKA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 23) April 24, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 23) NA DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 06) April 17, 2023
  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2023 March 06, 2023
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA WA MWAKA 2023 March 02, 2023
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MIRADI YENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 325.1 YATEMBELEWA KATIKA ROBO YA TATU

    April 18, 2023
  • USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI WABORESHA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA SHULENI

    March 10, 2023
  • DC MISSENYI : NAWAAGIZA VYOMBO VYA DOLA KUHAKIKISHA MNAZUIA UKATILI WA KIJINSIA.

    March 08, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA MISSENYI KATIKA KATA ZOTE 20

    March 07, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • JINSI YA KUOMBA MKOPO KUTOKA BODI YA MKOPO
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa