• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

HALMASHAURI YA WILAYA YAPATA HATI SAFI 2016/2017

Posted on: July 24th, 2018

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa hesabu za serikali CAG kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ameipatia HATI SAFI halmashauri ya Wilaya Missenyi  kutokana na Ukaguzi wa hesabu za Halmashauri kwa kipindi kilichoishia tarehe 30 Juni 2017

Akisoma taarifa ya majibu ya hoja za CAG mweka hazina wa halmashauri ya Missenyi bwana Majaliwa Byekwaso amesema kuwa mkaguzi mkuu ameitaja halmashauri kwamba hesabu zake zimeandaliwa Kwa kufuata mfumo wa viwango vya Kimataifa vya ufungaji hesabu za umma (IPSAS)

Katika hotuba ya Mkuu wa mkoa Kagera iliyosomwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Karagwe ndg. Godfrey Mheluka amelitaka Baraza la Madiwani na Menejimenti ya Halmashauri kulinda mafanikio yaliyopatikana nakuhakikisha wanaondoa kasoro ndogo zilizojitokeza katika Ukaguzi uliopata

Aidha Mkuu Wa Mkoa Kagera ameagiza Baraza la madiwani kuchukua hatua zinazositahili kwa watumishi na wadau wote wa halmashauri waliosababisha halmashauri kuwa na hoja 13 za miaka ya nyuma ambayo majibu yake hayakumridhisha CAG


Tarifa Kwa Umma

  • MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOMO KATIKA ENEO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI. September 14, 2019
  • KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO YA SURUA-RUBELLA. September 17, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA. September 14, 2019
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA 2019 July 09, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • HIZI NDIO MADA ZILIZOJADILIWA NA WADAU MBALIMBALI WIKI YA UWEKEZAJI KAGERA

    August 16, 2019
  • WIKI YA KAGERA -UJUMBE KUTOKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

    August 15, 2019
  • UZINDUZI WA WIKI YA KAGERA WAZIRI MKUU ASIFIA MAANDALIZI-AWAPA KONGOLE WANAKAGERA

    August 14, 2019
  • WIKI YA KAGERA -WAZIRI MKUU AWASILI RASMI KWA UFUNGUZI

    August 14, 2019
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    BUNAZI MISSENYI KAGERA TANZANIA

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 38 KYAKA MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: 0732983531

    Namba ya simu :

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa