• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

RC CHALAMILA: WANAFUNZI WOTE WARIPOTI SHULENI

Posted on: February 3rd, 2023

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila leo tarehe 03 Februari 2022 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa bweni la wanafunzi wakiume katika shule ya sekondari Kagera iliopo katika halmashauri ya Wilaya ya Missenyi katika kata ya Kyaka lenye uwezo wa kubeba wanafunzi 120 kwa wakati mmoja.Akizungumza na wanachi baada ya kuweka jiwe la msingi na kukagua vyumba viwili vya madarasa Mhe. Chalamila alipongeza ujenzi unaondelea na kuwasihi wazazi Wilayani humo wahikikishe watoto wanaripoti shuleni wote kama ilivyofanyika katika shule ya sekondari Kagera ambapo mpaka siku ya ziara wanafunzi walisharipoti kwa asilimia 100.

Waakati akitoa ufafanuzi wa mradi Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kyaka Mhe. Projestus Tegamaisho alisema Halmashauri imetoa kiasi cha shilingi milioni 80 kutoka mapato ya ndani ingawa gharama ya mradi wote ni Tsh 125,930,000.00 ambapo mpaka sasa Bweni limeezekwa na lipo hatua ya kupigwa plasta na fedha iliyotumika ni Tsh 79,173,300.00.


Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi amesisitiza kwamba ili kuweza kukamilisha mradi huu, kwa awamu ya pili Halmashauri tayari imetenga bajeti ya kiasi cha shilingi milioni 40 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya uendelevu wa ukamilishaji wa mradi.

Aidha Mheshimiwa mkuu wa mkoa alikagua vyumba viwili vya madarasa ambavyo vimekamilia kwa asilimia 100 vilivyojengwa kwa ajili ya kidato cha kwanza ambapo alimshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi milioni 80 zilizojenga vyumba hivyo.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • WAZAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI KAMPENI YA UTOAJI WA MATONE YA VITAMINI A

    June 05, 2025
  • UFUNGUZI SOKO LA NDIZI NA STENDI GERA, NEEMA KWA WANANCHI WILAYANI MISSENYI

    May 31, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa