• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

DC MISSENYI : NAWAAGIZA VYOMBO VYA DOLA KUHAKIKISHA MNAZUIA UKATILI WA KIJINSIA.

Posted on: March 8th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha wanazuia ukatili wa kijinsia katika jamii  ili kuendelea kuimarisha haki na usawa katika jamii.

"Taarifa zote mbili zilizotolewa na jeshi la polisi Missenyi kupitia Dawatia la jinsia na pamoja na taarifa ya divisheni ya maendeleo ya jamii Halmashauri ya Missenyi zote zinaelezea ukatili wa kijinsia" Alisema Kanali Sakulo

Kutokana na uelewa mdogo wa masuala ya kijinsia katika jamii kanali Sakulo ameagiza mikutano yote katika kufanya mikutano yote inayohusisha jamii lazima wanaalikwa watu wa dawati la Jinsia ili kutoa elimu kwa wanachi juu ya masuala ya kijinsia katika jamii.

Katika taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi kupitia dawati la jinsia na watoto wilaya ya missenyi ni kwamba matukio ya ukatili wa kijinsia  yanayotokea mara kwa mara katika wilaya ya Missenyi ni pamoja na Mauaji, ubakaji, kutelekeza familia, mimba kwa wanafunzi, kutorosha wanafunzi, mashambulio ya kudhuru mwili au kujeruhi na kutishia haswa kwa wanandoa au wapenzi.

"Jeshi la polisi limekua mstari wa mbele kutoa elimu juu ya athari za vitendo vya kijinsia hali inayoongeza utayari wa kutoa taarifa pindi linapotokea tukio la kiunyanyasaji au wanapoona vitendo hivi vikitendeka" Alisema Bi Grace Matofali.

Kwa upande wake mkuu wa Divisheni ya maendeleo ya jamii Bi Beatrice Sanga alisema maadhimisho haya ni muhimu sana katika kupaza sauti kwa pamoja kuhusu haki za wanawake kwa kushirikiana na wanaume ili kuhakikisha usawa wa kijinsia unazingatiwa katika nafasi mbalimbali za maamuzi kwa kuhakikisha ukatili wa kijinsia unakomeshwa kabisa.

Maadhimisho haya yaliambatana na maandamano ya amani ya wanachi na watumishi kutoka taasisi mbalimbali, michezo maigizo,nyimbo na harambee kwa ajili wa ujenzi wa bweni la wasicha katika shule ya sekondari buyango ambapo zilipatikana fedha taslimu shilingi  463,100 na ahadi shilingi 730,000/- pamoja na ahadi ya mifuko 20 ya saruji.

 

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2023 March 06, 2023
  • WITO KWA WAZAZI NA WALEZI KUWAPELEKA WATOTO SHULENI January 07, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA WA MWAKA 2023 March 02, 2023
  • Tazama zote

Habari mpya

  • USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI WABORESHA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA SHULENI

    March 10, 2023
  • DC MISSENYI : NAWAAGIZA VYOMBO VYA DOLA KUHAKIKISHA MNAZUIA UKATILI WA KIJINSIA.

    March 08, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA MISSENYI KATIKA KATA ZOTE 20

    March 07, 2023
  • ZIARA YA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI KATIKA WILAYA YA KYERWA

    February 16, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • JINSI YA KUOMBA MKOPO KUTOKA BODI YA MKOPO
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa