• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

MWENGE WA UHURU WAWASILI MISSENYI

Posted on: October 5th, 2021

Mbio za Mwenge maalumu wa Uhuru leo tarehe 05/10/2021 majira ya saa moja na robo asubuhi umekabidhiwa rasmi Wilayani hapa na kupokelewa na Mkuu wa wilaya ya missenyi Kanali Wilson Sakulo ukiwa unatokea wilayani Kyerwa.

Akipokea mwenge maalumu wa uhuru Mkuu wa wilaya ya Missenyi  Kanali Wilson Sakulo amesema mwenge huu utatembelea jumla ya miradi 11 yenye thamani ya jumla ya shilingi Bilioni 11.5. Aidha kati ya miradi hiyo, miradi 4 itazinduliwa, miradi 2 itawekewa mawe ya msingi na miradi mitano itakaguliwa.

Kabla ya kuanza kutembelea miradi iliyo pangwa, Kiongozi wa mbio maalumu za mwenge kitaifa  Luteni Josephine Mwambashi ameomba ushirikiano wa kutosha huku akitoa angalizo la namna zoezi la ukaguzi litakavyo kuwa. “Naomba nitoe angalizo ili tuanze pamoja na tumalize pamoja, tutaenda kuangalia thamani ya fedha iliyo tumika katika mradi kwa kulinganisha na miradi yenyewe ili kuona namna waliopewa jukumu la kusimamia miradi hiyo walivyofanya kazi yao kikamilifu”. Amesema Mwambashi huku akitaka kukuta nyaraka zote za miradi na watu wote waliohusika kusimamia utekelezaji wa mradi husika. Mwisho, Mwambashi amewasistiza wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 kwa kuvaa barakoa na kujitakasa mikono. Baada ya kuongea hayo, mwenge wa uhuru umeanza rasmi ukaguzi wa miradi wilayani hapa

Tarifa Kwa Umma

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUFANYIKA TAREHE 01/12/2021 November 25, 2021
  • KUITWA KWENYE USAILI October 22, 2021
  • MATOKEO DARASA LA SABA 2021 November 02, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA August 04, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WAJUMBE WA KAMATI, BODI NA WALIMU WAKUU WAPATIWA MAFUNZO YA UTAWALA BORA KASSAMBYA

    April 29, 2022
  • WATOTO 46,567 KUPEWA CHANJO YA POLIO WILAYANI MISSENYI

    April 21, 2022
  • TEGAMAISHO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITAL YA WILAYA

    April 14, 2022
  • MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BILIONI 6.6 ZAPOKELEWA NA KUTUMIKA MISSENYI

    March 22, 2022
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa