• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

Posted on: June 20th, 2025

Leo Juni 20, 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imetia saini mkataba wa ujenzi wa soko la kisasa la Bunazi lilipo Kata ya Kassambya Wilayani Missenyi wenye thamani ya Shilingi bilioni 5.7.

Zoezi hilo limefanyika katika viwanja vya  soko la Bunazi likimhusisha Mkandarasi atakayetekeleza ujenzi wa mradi huo, Mniko Construction kutoka Musoma na Halmashauri ya Missenyi.

Akizungumza katika hafla hiyo ya utiaji saini Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mhe. Kanali (Mst) Hamis Maiga amemtaka Mkandarasi kuhakikisha anatekeleza mradi kwa ubora.

"Ujenzi huu utakapokamilika utatoa fursa kwa wananchi kupata maeneo ya kufanyia biashara na  mkandarasi ahakikishe anatekeleza mradi kwa ubora, viwango na ndani ya muda  aliopewa", amesema Mhe. Maiga.

Aidha, amewataka wananchi wa Bunazi kuhakikisha wanakua walinzi wa mradi lakini pia, watumishi wahakikishe wanazingatia taratibu zote za ujenzi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana.

Awali akifungua hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. John Paul Wanga amebainisha kuwa thamani ya mradi huo mpaka kukamilika kwake utagharimu shilingi bilioni 17.5 na utajengwa kwa awamu mbalimbali, ambapo kwa awamu ya kwanza zitatumika Shilingi bilioni 5.7.

Aidha, amewaomba wananchi wote kuonyesha ushirikiano ili mradi huo uweze kukamilika na kufikia malengo ya mradi yaliyokusudiwa katika mradi huo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho amewataka wananchi wa maeneo hayo kuhakikisha wanachangamkia fursa pindi ujenzi utakapokamilika ili kuongeza kipato cha mwananchi mmoja mmoja na Halmashauri kwa ujumla.

Aidha, amebainisha malengo ambayo Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imejiwekea ikiwa ni pamoja na kuwa Manispaa kwa siku za usoni.

"Miradi yetu mikubwa itakapomamilika tunahitaji kuifanya Missenyi iwe Manispaa, maana wakati tunaingia, Halmashauri ilikua inakusanya  milioni 600 lakini kwa sasa tunaelekea kufikia bilioni 12 na tunaendelea kukusanya zaidi", amesema Mhe. Tegamaisho.

Kwa upande Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Missenyi Mhe. Florent Kyombo amempongeza Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kwa kusimamia vyema Halmashauri mpaka kufanikisha utekelezaji wa miradi mikubwa.

"Nimpongeze Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kusimamia vyema Halmashauri mpaka kutekeleza mradi mkubwa kama huu na niwaombe wakati sisi Madiwani tunamaliza muda wetu leo, Wataalam pamoja na Chama msimamie vyema ili tukirudi tukute mmefikia katika hatua nzuri",amesema Mhe. Kyombo.

Mradi wa ujenzi wa soko la kisasa la Bunazi unatarajiwa kutekelezwa kwa muda wa miezi 18 kuanzia Juni 20, 2025 ambayo ni siku ya kusainiwa kwa mkataba.

Shughuli hio ya utiaji saini imehudhuriwa na  viongozi mbalimbali wa Serikali,Taasisi za Serikali na binafsi, Viongozi wa dini, Chama  na wananchi.


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa