• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI YAFANYA MAFUNZO KAZINI

Posted on: November 21st, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi leo terehe 21 Novemba 2021  imefanya mafunzo kazini  kwa watumishi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Divisheni na Vitengo,Watendaji wa Kata na Vijiji,Maafisa elimu Kata, Wakuu wa Shule,Walimu Wakuu na Walimu wa fedha, Waganga wafawidhi na wasimamizi wa fedha katika vituo vya afya na Zahanati.

Mafunzo haya yamefunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo ambaye alikua mgeni rasmi akimbatana na Mwenyekiti wa halmashauri Mh. Projestus Tegamaisho na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. Waziri Kombo.

Akifungua mafunzo hayo Kanali Sakulo alitaja maeneo ambayo yataangaziwa ambayo ni Maadili ya Mtumishi wa Umma, Mamlaka ya nidhamu ya Mkuu wa shule, Sheria na taratibu za ukusanyaji mapato,Utungaji wa Sheria ndogo za vijiji, Utendaji wa Mabaraza ya Kata, Taratibu za kufuata wakati wa ujenzi wa majengo ya Serikali, Ufuatiliaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo, Nyaraka wakati wa ukaguzi na kujibu hoja na mwisho kutatolewa ufafanuzi wa kikokotoo kutoka PSSSF.

‘’Niwatake wote waliohudhuria kuhakikisha mnasikiliza, mnaelewa na hatimaye mafunzo haya yalete  mabadiliko chanya katika utendaji kazi wenu kwani uaandaji wa mafunzo unatumia rasilimali nyingi zikiwemo fedha, muda na rasilimali watu”. Alisema Kanali Sakulo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Tegamaisho alimpongeza Mkurugenzi kwa kuhakikisha mafunzo haya yanafanikiwa kwani kipindi cha nyuma wamekua wakipanga ila hawakufanikiwa kutekeleza .

‘’Nimpongeze mkurugenzi kwa kukutanisha watumishi wengi kama hawa kwani kwangu ni mara ya kwanza kukutana na watumishi wengi kama hawa na ninashauri  tufanye mafuzo kama haya angala mara mbili ndani ya mmiaka mitano kwani yataleta ufanisi zaidi”. Alisema Tegamaisho.

Aidha Mkurugenzi mtendaji alisema lengo la mafunzo haya ni kwasababu ya kuwakumbusha watumishi wajibu wao kwa wananchi kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa ya Mwaka 1982 ambapo sheria hii ina ainisha kazi na majukumu zaidi ya 32 ambapo katika uanzishwaji wa mamlaka za serikali za mitaa  lengo  ni kuwarahisishia wananchi katika upatikanaji wa huduma.

“Sisi ni wawakilishi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ngazi zetu hivyo kila mmoja ajiulize na kutafakari kama anamwakilisha vyema mheshimiwa Rais katika nafasi yake, lengo letu la kuletwa hapa ni kuhakikisha Mkoa wa Kagera unapiga hatua za kimaendeleo” Alisema Bw. Kombo

Mafunzo yanatarajiwa kuendesha kwa siku tatu mfululizo kwa kila Tarafa  yaani Tarafa ya Kiziba na Missenyi na katika tarafa ya Kiziba mafunzo yatafanyika katika Ukumbi wa shule ya msingi Mugana ‘B’ na kisha kuhamia katika tarafa ya Missenyi ambapo yatafanyika katika ukumbi wa William Katunzi uliopo makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa