• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Kata ya Kassambya

UTANGULIZI

Kata ya Kassambya ni miongoni mwa Kata ishirini (20) zinazounda Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi katika Mkoa wa Kagera.

Upande wa Mashariki imepakana na Kata ya Minziro, Magharibi na Kata ya Nsunga Kaskazini na Kata ya Nsunga na Kusini imepaka na Kata ya Kyaka.

Kata ya Kassambya ina jumla ya Vijiji saba (7) ambavyo ni Kassambya, Bunazi, Gabulanga, Omundongo, Kakindo, Mabuye, na Nyabihanga.

Aidha Kata ya Kassambya ina jumla ya Vitongoji 31 ,ambavyo ni Kassambya, Kashozi A, Kashozi B, Kashozi C, Katunga, Nyakalembe, Gabulanga, Kigongo, Lwakalisa, Rushenye, Mbembe, Kakindo Kati, Rwakalisa, Kakinga, Mabuye, Ruhama, Kijuka, Itara, Bunazi A, Bunazi B, Kabwela, Omundongo, Omukitwe, Nyabihanga, Kitobo, Rukinga, Kyarweibuga, Kagasha, Kayemba na Kabale.

IDADI YA WATU

Kwa  mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi  ya  Mwaka 2022 Kata ya Kassambya ina jumla ya Kaya10,092  zenye jumla ya wakazi 37,028 ikiwa  KE 19,177 na ME 17,851.

UTAWALA NA UONGOZI

Kata ya Kassambya inaongozwa na  Mh. Diwani Yusuph Mzumbe Amada anayetokana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mtendaji wa Kata ni Ndg Abdulraufu Ally Athuman.

TAASISI ZA UMMA

Katika Kata ya Kassambya ni Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na Taasisi nyingi za serikali zinapatikana katika Kata hii. Baadhi ya Taasisi mbalimbali za serikali zilizopo katika kata ya Kassambya ni :- 

Shule za Msingi 10 

  1. Shule ya Msingi Itara
  2. Shule ya Msingi Mabuye
  3.  Shule ya Msingi Bunazi A
  4. Shule ya Msingi Bunazi B
  5. Shule ya Msingi Kabwela
  6. Shule ya Msingi Kakindo
  7. Shule ya Msingi Gabulanga
  8. Shule ya Msingi Kassambya
  9. Shule ya Msingi Omundongo
  10. Shule ya Msingi Nyabihanga

Shule za Sekondari 2

  1.  Shule ya Sekondari Gabulanga 
  2. Shule ya Sekondari Bunazi

Kituo cha Polisi 1

  1. Kituo cha Polisi Kyaka

Zahanati

  1. Zahanati ya Kakindo, 

Kituo Cha Afya

  1. Kituo cha Afya Bunazi 

Ofisi za Mamlaka ya Mapato TRA 2 

Ofisi ya Mkuu wa Wilaya 

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya 1

Ofisi ya mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira (BUWASA)

Mahakama ya Mwanzo 1 na Mahakama ya Wilaya 1

Ofisi za chama cha Msingi 2.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa