• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WATU 43,504 WAMEPIMA VIRUSI VYA UKIMWI WILAYANI MISSENYI KATIKA KIPINDI CHA JANUARI HADI NOVEMBA, 2024

Posted on: December 1st, 2024

Leo 1 Desemba 2024, Tanzania imeungana na Mataifa mengine Duniani kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani ambapo katika Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera maadhimisho hayo yamefanyika katika Kata ya Bugandika iliyopo katika Tarafa ya Kiziba.

Akifungua maadhimisho hayo kwa kusoma taarifa fupi ya hali ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI katika Wilaya ya Missenyi Mganga Mkuu Wilaya ya Missenyi Dr. Daniel Chochole kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi amebainisha kuwa katika kipindi cha Januari hadi Novemba,2024 watu 43,504 wamepima VVU na 386 wamekutwa na maambukizi.

"Kati ya waliopima wanaume ni 14,478 na wanawake ni 29,026, na kati yao waliokutwa na maambukizi ni watu 386 ambapo wanaume ni 144 na wanawake ni 242 sawa na asilimia moja ya watu wote waliopimwa".

Amesema Dr. Daniel Chochole.

Hata hivyo alibainisha kuwa jumla ya wateja 9,687 wanoishi na VVU wanaendelea na huduma za tiba na matunzo katika vituo 30 vya kutolea huduma za afya katika Wilaya ya Missenyi.

Aidha, kwa upande wa Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Missenyi Bi. Mwanaid Mang'uro kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali (Mst) Hamis Maiga amewataka wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutumia dawa zao kwa usahihi pamoja na kuwataka watu kuachana na mila potofu zinazowafanya kuamini katika tiba mbadala kwamba zinaponya UKIMWI.

"Tukishatambua afya zetu kwamba tuna maambukizi basi tutumie dawa zetu kwa usahihi na tutumie Wataalamu wetu, tutumie tiba za hospitali maana ndio tiba zilizothibitishwa katika kufubaza Virusi Vya UKIMWI". Amesema Bi. Mwanaid Mang'uro.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na utoaji wa huduma mbalimbali za afya, utoaji wa elimu ya ujasiriamali, upatikanaji wa mitaji kwa makundi mbalimbali, utoaji wa elimu ya msaada wa kisheria kwa wahitaji, burudani mbalimbali ikiwa ni pamoja na mchezo wa mpira wa miguu.

Kauli mbiu ya maadhimisho haya kwa mwaka 2024 ni "Chagua Njia Sahihi, Tokomeza UKIMWI".

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa