• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WATAALAMU WA LISHE WATAKIWA KUBORESHA HALI YA LISHE MISSENYI

Posted on: February 20th, 2026

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mheshimiwa Julius Kalanga Laizer ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Karagwe kwa sasa amewataka wataalam wa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kutoa ufumbuzi wa chakula gani kinaweza kikatumika  ili kuimarisha hali ya lishe katika jamii na kuweza kupata matokeo ya haraka ili kupunguza hali ya udumavu katika jamii.


Ameyasema hayo katika kikao kazi cha kutathmini mkataba wa lishe kwa kipindi cha cha robo ya pili ya Oktoba hadi Desemba kwa mwaka wa fedha 2025/26 kilichofanyika leo tarehe 20 Februari, 2026 katika ukumbi mdogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi.


"Nikweli kwamba tuna makundi hayo sita ya vyakula yanayohitajika lakini kiuhalisia kulingana na hali ya kiuchumi huwezi kuyapata yote kwa pamoja katika mlo mmoja, hivyo ni vyema mkatafakari juu ya kundi gani la chakula linalopatikana kwa urahisi katika jamii yetu kwa ili tuweke nguvu ya kuwaelemisha wananchi ili waweze kutumia na kuondokana na hali duni ya lishe kwa watoto wetu"


Mheshimiwa Laizer alisisitiza kwamba kwa hali ya mkoa wa Kagera na Missenyi kwa ujumla hatupaswi kuwa na utapiamlo kwani kila aina ya chakula inapatikana na tatizo ni utamaduni uliozoeleka wa kutumia chakula kimoja tuu wakati vyakula vingi vinapatikana katika maeneo yetu lakini wananchi wanauza na sio kutumia katika familia zao.


Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Dkt. Daniel Chochole ameitaka jamii kuzingatia ulaji wa chakula kwa makundi mbalimbali ya vyakula kwani virutubisho havipatikani kwenye chakula cha aina moja tuu bali ni kutoka katika makundi mbalimbali.


"Niendelee kuitaka jamii kuhakikisha inatumia vyakula vilivyopo kwenye maeneo yao vinavyopatikana kwa bei nafuu na vingine sio lazima kununua kwasababu vinapatikana kwenye maeneo yetu ila kulingana na utamaduni wa wananchi wa eneo hili hawavitumii wakidhani ni vyakula duni wakati ndio vyakula vyenye virutubisho" amesema Dkt. Chochole.


Kwa upande wake Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bi. Faustina Godwin amewataka wazazi kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanapata muda wa kunyonya maziwa ya mama kwa muda wa miezi sita na kuhudhuria kliniki ili kuweza kupimwa hali zao za lishe kwa wakati ili kama kuna tatizo la lishe liweze kugundulika mapema na kupatiwa suluhisho.


Makundi hayo ya vyakula yaliyobainishwa ni pamoja na  vyakula vya nafaka, ndizi mbichi na mizizi yenye wanga, pili ni vyakula vya asili ya wanyama, tatu ni vyakula jamii ya mikunde , kokwa na mbegu zenye mafuta, nne ni ni matunda,  tano ni Mbogamboga na sita ni Mafuta.


Katika kikao hicho Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mheshimiwa Julius Kalanga Laizer alikabidhi vitendea kazi vya kufanikisha shughuli za lishe ikiwa pamoja na vifaa, virutubishi na Chakula dawa vyenye thamani ya shilingi milioni 17.4 vilivyogawiwa kwa shule za Msingi na Sekondari, Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 05, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA YA MISSENYI YAPITISHA BIL. 56.8 YA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA 2026/2027

    February 20, 2026
  • WATAALAMU WA LISHE WATAKIWA KUBORESHA HALI YA LISHE MISSENYI

    February 20, 2026
  • TUNAKAGUA MIRADI NA SIO KUTEMBELEA MIRADI

    January 27, 2026
  • NANAUKA AIPONGEZA MISSENYI KUTAMBUA UMUHIMU WA VIJANA KATIKA UKUAJI WA UCHUMI

    January 26, 2026
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa