• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

UTEKELEZAJI WA BAJETI MISSENYI WAFIKIA 87%

Posted on: January 25th, 2024

Leo tarehe 26/01/2024 Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi limefanya mkutano maalum wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya Mpango na Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025.

Katika kufanya mapitio ya mapato ya ndani kwa kipindi cha nusu mwaka yaani kuanzia Julai 2023 hadi Desemba 2023 , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. John Paul Wanga  alilieleza Baraza la Madiwani kwamba katika mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri iliidhinishiwa kukusanya shilingi bilioni 4.2  na mpaka kufikia Desemba 2023 Halmashauri imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 3.8 sawa na aslimia 87 ya makusanyo ya mwaka wa fedha 2023/2024.

Aidha alieleza kwamba katika mpango na bajeti wa mwaka wa fedha 2024/2025, Halmashauri itaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi bilioni 37.6 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo ambapo ruzuku ya mishahara  ni shilingi bilioni 20.0,  matumizi ya kawaida shilingi bilioni 1.0, miradi ya maendeleo na wahisani shilingi bilioni 9.6 na mapato ya ndani shilingi bilioni 6.8.

Rasimu hii ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 inaongezeko la shilingi bilioni 2.4 sawa na aslimia 07 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 iliyokuwa shilingi bilioni 35.1 ambapo ongezeko hili linatokana na fedha za mapato ya ndani kuongezeka kutoka shilingi bilioni 4.4 kwa mwaka 2023/2024 hadi kufikia bilioni 6.8 kwa mwaka 2024/2025 sawa na ongezweko la asilimia 55 ya mapato ya ndani pekee.

‘’Kutokana na ongezeko hili la Mapato ya ndani tumepanga kupeleka asilimia 60 ya mapato ya ndani kwenye miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 badala ya asilimia 40 kama ilivyokua kipindi cha nyuma” alisema Mkurugenzi Wanga.

Alisisitiza kwamba Halmashauri imejipanga kutekeleza miradi mikubwa ambapo tumetenga shilingi bioni moja kwa ajili ya uendelezaji wa gulio la Bunazi Pamoja na kuendele kuimarisha ulinzi na usalama, kuweka msukumo maalum wa kuboresha Sekta ya elimu ya Msingi na Sekondari, kupima na kutenga maeneo ya uwekezaji na kuboresha maeneo maalum ya shughuli za viwanda na biashara.

Pia kuendeleza sekta ya mifugo na masoko, kuimarisha sekta Uvuvi, sekta ya kilimo na  kutilia mkazo kilimo cha mazao ya kimkakati, kuweka msukumo wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Afya, Elimu, Maji na Barabara na kuimarisha matumizi ya mifumo ya Kielektroniki katika ukusanyaji wa mapato ili kuongeza ufanisi.

Alimshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muuungano Dkt. Samia Suluhu Hassan kwaniaba ya Baraza la Madiwani na Timu ya Menejimenti kwa kuipatia Halmashauri ya Missenyi fedha nyingi za miradi ya maendeleo ilioimarisha sekta za Afya, Elimu, Maji, Umeme na Barabara ili kurahisisha ufikishaji wa huduma kwa wananchi wa Missenyi

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa