• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

UKAGUZI WA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.3 KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/23ROBO YA

Posted on: January 20th, 2023

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango katika  Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi leo tarehe 20 Januari 2023 imefanya ziara ya  kukagua miradi ya maendeleo katika tarafa ya kiziba yenye thamani ya shilingi milioni 320 kutoka vyanzo mbalimbali vya fedha ikiwa ni pamoja na serikali kuu na mapato ya ndani ya Halmashauri.


Akiwa katika ziara ya siku mbili Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. Projestus Tegamaisho ameongoza kamati hiyo katika ukaguzi wa miradi 5 iliopo Tarafa ya Kiziba katika Kata za Kashenye, Kanyigo, Bugandika na Buyango.


Miradi hiyo iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Chumba kimoja kimoja  cha Darasa katika Shule za Sekondari za Kashenye, Bugandika na Buyango wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa kila chumba kimoja huku chanzo cha fedha kikiwa ni serikali kuu, Mradi wa ukarabati wa Mwalo wa Kabindi wenye thamani ya shilingi Milioni 10 na chanzo cha fedha kikiwa ni Mapato ya Ndani na muendelezo wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya  Kanyigo kwa awamu ya pili katika jengo la Wazazi, Jengo la Kufulia na Jengo la Upasuaji huku gharama za ujenzi zikiwa ni shilingi Milioni 250 kutoka Serikali Kuu.


Bw. Tegamaisho amesisitiza kwamba  lengo mahsusi la ziara ni kufanya ukaguzi wa miradi inayoendelea kujengwa ili kujiridhisha ubora  wake pamoja na  kulinganisha thamani ya fedha zilizotolewa na serikali.


Siku ya Jumamosi terehe 21 Januari 2023 ziara itaelekea katika tarafa ya Missenyi  kukagua miradi 08 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.0 iliopo katika Kata za Kyaka, Kassambya, Mushasha, Kakunyu  na Mutukula.


Miradi hiyo itakayotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Bweni shule ya Sekondari ya Kagera, Ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya sekondari Kagera, Ujenzi wa jengo la abiria katika stendi ya Kyaka,Uakmilishaji wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya Msingi Bunazi,Matengenezo ya barabara ya Kyenjubu, Ujenzi wa hospitali ya Wilaya,Ujenzi wa chumba cha darasa Kakunyu Sekondari,Ujenzi wa kituo cha afya Kakunyu na Ujenzi wa eneo la maegesho Mutukula na ujenzi wa kalavati katika soko la mazao Mutukula.


Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2023 March 06, 2023
  • WITO KWA WAZAZI NA WALEZI KUWAPELEKA WATOTO SHULENI January 07, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA WA MWAKA 2023 March 02, 2023
  • Tazama zote

Habari mpya

  • USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI WABORESHA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA SHULENI

    March 10, 2023
  • DC MISSENYI : NAWAAGIZA VYOMBO VYA DOLA KUHAKIKISHA MNAZUIA UKATILI WA KIJINSIA.

    March 08, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA MISSENYI KATIKA KATA ZOTE 20

    March 07, 2023
  • ZIARA YA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI KATIKA WILAYA YA KYERWA

    February 16, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • JINSI YA KUOMBA MKOPO KUTOKA BODI YA MKOPO
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa