• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

UBALOZI WA JAPAN WAKABIDHI MRADI WA BWENI LENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 270.1 KAGERA SEKONDARI

Posted on: December 12th, 2024

Leo Desemba 12, 2024 umefanyika uzinduzi wa Mradi wa Bweni la wasichana lenye thamani ya Shilingi milioni 270.1 lenye uwezo wa kupokea wanafunzi 120 katika Shule ya Sekondari Kagera iliyopo Kata ya Kyaka katika Wilaya Missenyi.

Mradi huo uliofadhiliwa na Serikali ya Japan kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania na kutekelezwa na Taasisi ya MAPEC iliyopo Kata ya Kyaka Wilayani Missenyi ulianza kutekelezwa tarehe 2/5/2024 na kukamilika kabla ya muda tarehe 12/12/2024.

Akisoma taarifa ya ujenzi wa mradi huo Mkurugenzi Mtendaji kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la MAPEC Bw. George Buberwa Kachumita amesema kwamba lengo la mradi huo ni kuinua kiwango cha ufaulu kwa kutatua changamoto ya ongezeko la watoto wa kike kushindwa kumaliza shule kutokana na kutembea umbali mrefu kutoka nyumbani kwenda shule kwa wastani wa Kilomita 12 Kila siku.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali (Mst) Hamis Maiga kwaniaba ya Mgeni rasmi wa hafla hiyo ambaye ni Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa ameishukuru Serikali ya Japan kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huo wa ujenzi wa Bweni kupitia Shirika la MAPEC lenye Makao Makuu yake katika Kata ya Kyaka.

Kwa upande wake Mhe. Naibu Mkuu wa Ujumbe wa Japan nchini Tanzania Bw. Shoichi Ueda amesema kwamba anafuraha kusikia kwamba kukamilika kwa mradi huo kutanufaisha jumla ya wasichana 120 wa Shule ya Sekondari Kagera na anatumaini kwamba ujenzi wa Bweni hilo utafanya maisha ya wanafunzi wa kike kuwa ya furaha na utulivu zaidi.

Mradi huo wa Bweni la wasichana umegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni sehemu ya kulala wanafunzi yenye vitanda 60 vya kulaza wanafunzi wawili na kabati 30 za kutunzia vitabu kwa wanafunzi wanne kwa kila kabati, nyumba ya matroni kwaajili ya malezi na usalama wa wanafunzi wakati wote wawapo shuleni, Vyoo, bafu na karo za kufulia nguo.

Aidha, jengo limefungwa mfumo maalum wa usalama wa kuweza kuhisi mapema na kutoa mlio wa tahadhali ya ajali ya moto.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa