• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

RC MWASSA: TUNATAKA KUWA KATIKA ORODHA YA MIKOA KUMI BORA KIUCHUMI

Posted on: September 18th, 2023

Leo tarehe 18 Septemba, 2023 Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amefungua mafunzo ya siku tano ya Uongozi kwa viongozi wa Mkoa wa Kagera.


Mafunzo haya yamejumuisha Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya, Wakurugenzi, Viongozi wa Chama ngazi ya Mkoa na Wilaya, Wakuu wa Diviseheni na Vitengo ngazi ya Mkoa na Halmashauri zote za Mkoa wa Kagera, Wakuu wa Taasisi za serikali kama RUWASA, BUWASA, TANROADS, TARURA, TANESCO, REA na TRA.


Wawezeshaji wanaotarajiwa kuwezesha Mafunzo haya ni pamoja na Katibu Mkuu CCM Mhe. Daniel Chonholo, Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa, Mhe.Mohamed Mchengerwa ( Mb) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt Galvin Kweka kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mhe. Jumanne Sagini (Mb) Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mstaafu Kanali Joseph Simbakalia, Dkt Jamal Msami. Dkt Ernest Mwaswaliba, Bw. Hamis Mjanja, Wataamu kutoka NBS, Benki kuu nk.


"Lengo la mafunzo haya ni kufanya tathmini ya hapa tulipo sasa kama Mkoa  na kuweza kuja na mpango mkakati wa kutoka nafasi ya pili kutoka mwisho kiuchumi na kuingia katika orodha  ya Mikoa kumi bora kiuchumi katika nchi yetu". Alisema Mhe. Mwassa.


 Aidha Mhe. Mwassa aliwataka washiriki wote kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kwani baada ya mafunzo haya kwa pamoja tunataka kutoka na uelewa wa pamoja


Mafunzo haya yameanza leo tarehe 18 Septemba, 2023 na yatahitimishwa siku ya ijumaa tarehe 22 Septemba, 2023 katika ukumbi wa ELCT  uliopo Bukoba Manispaa.


Tarifa Kwa Umma

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA KARANI, WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI October 10, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MISSENYI

    October 26, 2025
  • BILIONI 3.4 ZA RAIS SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA ZA AFYA WILYA YA MISSENYI

    October 16, 2025
  • WAZEE WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUDUMISHA AMANI NA KUHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA

    October 01, 2025
  • HALMASHAURI YAWAKUTANISHA WADAIU WA KILIMO NA TAASISI ZA KIFEDHA

    September 24, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa