• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

RC CHALAMILA: NIMEKUA SHAHIDI MZURI JUU YA MIRADI INAYOTEKELEZWA MKOA WA KAGERA

Posted on: February 4th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa Albert Chalamila leo tarehe 03 Februari 2023 amehitimisha ziara ya siku tatu katika halmashauri ya wilaya ya Missenyi kwa kuweka jiwe la msingi na kufanya mkutano wa hadhara katika mradi wa jengo la abiria katika Stendi ya Kyaka.

Mhe. Chalamila alisema kwamba wapo baadhi ya watu wanadhani kwamba mkoa wa kagera hakuna maendeleo yanayofanyika ila yeye amekua shahidi juu ya mambo mazuri yanayoendelea katika mkoa wa kagera na maendeleo haya ndio ambayo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayoyataka.

Kwa upande wake Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Missenyi kanali Wilson Sakulo alimpongeza na kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumuamini na kumteua na kumbakiza katika wilaya hii ya Missenyi na kuahidi kuendelea kuwatumikia wananchi kwa mujibu wa taratibu za serikali yetu pamoja na kutoa ushirikiano ili tuweze kuyafikia maendeleo.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho ambaye pia ni Diwani wa kata ya Kyaka wakati akitoa ufafanuzi alisema ujenzi wa stendi ya Kyaka umekuwa na manufaa makubwa ambapo abiria wamepata eneo la kupumzikia wakata wanasubiria magari kwani wamekua wakisumbuliwa na vipindi vya jua na mvua kwa kukosa sehemu ya kujihifadhi.

"Kuna ongezeko la vijana na wanawake wanaofanya shughuli za ujasiriamali , mapato ya Halmashauri yatokanayo na ushuru wa choo, magari yanayoingia na kutoka stendi, pia mradu huu umeongeza pato la mwananchi hususani kwa wakazi wa Kata ya Kyaka" alisema Mhe. Projestus.

Akitoa taarifa ya Mradi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. Julian Tarimo alisema Halmashauri iliamua kujenga stendi ya Kyaka kwa awamu ambapo awali ilipata eneo na kulipia fidia, kupima viwanja na kuwagawia wafanyabiashara walioomba kujenga vibanda zilifanyika, kujenga miundombinu kama Jengo la wauza Gonja, Kituo cha Polisi, Choo na Kizimba cha kutupia taka.

Katika kuboresha miundombinu ya stendi ya abiria Kyaka,kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ilitenga kiasi cha shilingi milioni 37 kutoka mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa jengo la abiria ambapo Mradi huu ulianza 18 Septemba 2022.


Tarifa Kwa Umma

  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa