• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MWENYEKITI WA UWT TAIFA AKAGUA MIRADI YENYE THAMANI YA TSHS BILIONI 11.9 MISSENYI

Posted on: October 6th, 2023

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda akiambatana na Wajumbe wa UWT wamefanya ziara ya ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Wialaya ya Missenyi.

Ukaguzi huu wa Miradi ya maendeleo unafanyika katika kata zote 20 za halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kukagua miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 11.9 ikiwa ni fedha kutoka Serikali kuu na mapato ya ndani ikiwa ni sehemu ya utekelezaji kwa vitendo wa ilani ya chama cha mapinduzi.

Miradi ya elimu msingi na sekondari itakayokaguliwa ina thamani ya shilingi bilioni 3.2, Miradi ya Maji ni shilingi bilioni 5.2, Miradi ya Afya shilingi bilioni 3.1 na miradi mingine yenye thamani ya shilingi milioni 263.6.

Baadhi ya Miradi iliyotembelewa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda ni pamoja na

1. Uboreshaji wa gulio la Bunazi-Tshs. Milioni 141.0

2. Ujenzi wa shule mpya ya msingi Bunazi - Tshs Milioni 540.3

3. Ujenzi wa shule mpya ya sekondari Bugango-Tshs Milioni 584.2

4.  Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya-Tshs Bilioni 2.3

5. Mradi wa Ujenzi wa kituo cha afya Kanyigo-Tshs Milioni 500

6. Mradi wa ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa Nyabihanga Shule ya Msingi-Tshs Milioni 106.3

7. Kukagua  chanzo cha maji cha mradi mkubwa wa maji wa Kashenye,Kanyigo na Bwanjai-Tshs Bilioni 1.9

8.  Mradi wa maji Kitobo-Tshs Milioni 800.

9. Mradi wa ujenzi wa sekondari mpya Kitobo-Tshs Milioni 570.

10. Mradi wa ujenzi wa mabweni 3, Vyumba 8 vya madarasa na matundu 13 ya choo Shule ya Sekondari Minziro- Tshs Milioni 617.

14. Mradi wa maji Mwemage-Tshs Milioni 237.2

15. Mradi wa maji Byamtemba- Tshs Milioni 508.9

16. Ujenzi wa maegesho ya malori Mutukula- Tshs. Mioni 148.2

17. Mradi wa maji Buyango-Tshs Milioni 792.8

18. Mradi wa maji Gera-Tshs Milioni 315.6

19. Mradi wa maji Ishozi-Tshs Milioni 823.6

20. Mradi wa maji Ishunju-Tshs Bilioni 1.2


Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa