• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA NDG. FADHIL MAGANYA AKAGUA MIRADI NA KUSIKILIZA KERO MISSENYI

Posted on: March 19th, 2024

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa ndugu Fadhil Rajabu Maganya leo tarehe 19 Machi, 2024 amefanya ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kukagua miradi ya Maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 3.5 katika sekta mbalilimbali ikiwa ni pamoja na Maji, Elimu na Afya.


Katika ziara hio Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na mradi wa maji unaotekelezwa na RUWASA katika Kijiji cha Ngando, Ujenzi wa shule mpya ya Bunazi katika Kijiji cha Bunazi, Ujenzi wa jengo la Ofisi ya CCM Wilaya linalojengwa Kyenjubu, Ujenzi wa bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kagera Kata ya Kyaka, Zahanati ya Kijiji Kenyana na Mradi wa Maji Mwemage.


Baada kukagua miradi hio, Ndugu Fadhil alifanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mwemage pamoja na kusikiliza kero za wanachi wa Wilaya ya Missenyi.


Akizungumza na wananchi wa Missenyi amewataka wanachi wa Wilaya ya Missenyi kuhakikisha wanailinda miradi yote inayotekelezwa na serikali kwani inaigharimu fedha nyingi kwa ajili ya kuwasogezea wanachi huduma karibu.


Aidha alisisitiza viongozi mbalimbali katika maeneo yao kuitisha mikutano na kuwashirikisha wataalamu ili kuwaeleza wananchi juu ya mambo yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita pamoja na kuwaasa kamati za siasa kuwa makini na viongozi watakaowateua kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.


"Naomba kuwakumbusha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mhakikishe mnateua wagombea wanaofaa kuchaguliwa bila kuwa na changamoto zozote" Alisema ndugu Maganya


Kero zilizoibuluwa na wanachi ni pamoja na Uwepo wa wanaya kama Tembo kwenye makazi ya watu kata Mabale, uwepo wa wanyama waharibifu wa mazao ikiwa ni pamoja na Ngedere kata ya Kilimilile, Kurejeshewa vitambulisho vya wajasiriamali, Umeme kutofika katika vitongoji vyote na Barabara katika Kata Kilimilile kuelekea Kyaka.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa amepokelewa Wilaya ya Missenyi akitokea Wilaya ya Kyerwa na anaendelea na ziara yake katika Manispaa ya Bukoba.


Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa