• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BILIONI 6.6 ZAPOKELEWA NA KUTUMIKA MISSENYI

Posted on: March 22nd, 2022

Kwa kipindi cha mwaka mmoja wa serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Wilaya Missenyi  imepokea na kutumia zaidi ya shilingi bilioni 6.6 kwa ajili ya utekelezaji miradi ya Maendeleo.

Hayo yamesemwa na Katibu wa CCM Wilaya Missenyi Bakari Mwacha wakati akisoma taarifa ya mafanikio ya Wilaya  katika Mkutano wa hadhara wa wananchi uliofanyika tarehe 20 Machi 2022 katika Kata ya Mushasha.  Amesema kuwa chini ya Uongozi wa Rais Samia wamepokea nakutumia shilingi bilioni 6.648 kutekeleza miradi ya Maendeleo katika sekta ya Elimu, Afya,kilimo,ufugaji, miundombinu ya stendi na maegesho pamoja na mikopo isiyo na riba kwa wanawake,vijana na watu wenye ulemavu "Ndani ya Mwaka mmoja wa Rais tumefanikiwa kuanza Ujenzi wa hospitali ya Wilaya tayari majengo ya OPD na maabara yapo hatua ya ukamilishaji, Ujenzi wa vituo viwili vya afya katika Kata ya Kakunyu na Kanyigo unaendelea na miradi mingine mingi.Tunamshukuru Sana Mama " Amesema Bakari Mwacha

Kwa Upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi Projestus Tegamaisho ameishukuru serikali ya awamu ya sita kwakutoa fedha nyingi zilizowezesha miradi mingi kukamilishwa kwa wakati bila michango ya Wananchi nakwamba haijapata kutokea serikali kutoa fedha nyingi kama hizo ndani ya Mwaka mmoja " Majengo ya hospitali ya Wilaya yamesimama,Shule shikizi zimejengwa,vituo vya afya vinajengwa,Miradi ya maji inatekelezwa sisi Missenyi hatuna lakumsema Mama zaidi yakumuombea afya njema" Amesema Tegamaisho.

Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Missenyi Kanali Wilson Sakulo amesema kuwa Wilaya Missenyi Rais ameipendelea kwakuipatia kiasi kikubwa cha fedha na kwamba kazi iliyofanyika siyo ya kubezwa anasitahili kupongezwa huku akiwata wananchi kuunga mkono jitihada zake

Kwa Upande wake Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa Kagera Eumachius Kalinjuna amesema kuwa ameridhika na utekelezaji wa miradi ya Maendeleo pia akampongeza Mwenyekiti wa Halmashauri Projestus Tegamaisho kwa uongozi wake bora wakuisimamia Halmashauri nakuwezesha mafanikio yaliyopatikana ndani ya Mwaka mmoja

"Missenyi ina Kiongozi jembeā€

Cc  Respicius John

Tarifa Kwa Umma

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUFANYIKA TAREHE 01/12/2021 November 25, 2021
  • KUITWA KWENYE USAILI October 22, 2021
  • MATOKEO DARASA LA SABA 2021 November 02, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA August 04, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WAJUMBE WA KAMATI, BODI NA WALIMU WAKUU WAPATIWA MAFUNZO YA UTAWALA BORA KASSAMBYA

    April 29, 2022
  • WATOTO 46,567 KUPEWA CHANJO YA POLIO WILAYANI MISSENYI

    April 21, 2022
  • TEGAMAISHO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITAL YA WILAYA

    April 14, 2022
  • MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BILIONI 6.6 ZAPOKELEWA NA KUTUMIKA MISSENYI

    March 22, 2022
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa