• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MITI 500 YAOTESHWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU.

Posted on: December 9th, 2023

Katika kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru, Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi wameadhimisha kwa kufanya matembezi ya hiaria kuanzia eneo la TRA Kyaka na kuhitimishwa katika Shule ya Msingi Bunazi "B" kwa kupanda miti ya kivuli, matunda na mbao.

Jumla ya miti ya kivuli na mbao 500 iliotolewa na TFS Missenyi ilioteshwa katika eneo la shule Mpya ya Msingi ya Bunazi "B" iliojengwa kwa thamani shilingi milioni 540 kupitia mradi wa BOOST kwa ajili ya kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji.

Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Missenyi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. John Paul Wanga kwaniaba ya Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo ambaye alitarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho haya alisema zoezi hili zi zuri na limetoa hamasa na kutoa elimu ya uhifadhi wa mazingira kwa walioshiriki matembezi haya ya hiari kwani wanachi wamekua na tabia ya kufyeka, kuvamia na kukata miti na misitu bila taratibu.

"Tunamshukuru TFS kwa zoezi hili ila bila kumsahau mwekezaji Mzalendo KADERES ambaye ana miche milioni moja ya parachichi aina ya HASS na ametupatia miche laki moja ambayo halmashauri tumekubaliana kuigawa katika taasisi za serikali kama zahanati, vituo vya afya, shule za msingi, sekondari  ili kuimarisha lishe, kuongeza kipato cha taasisi husika kupitia uuzaji wa matunda na uhifadhi wa mazingira na uuzaji wa hewa ya ukaa" Alisema Bw. Wanga.

Niwatake wananchi kuheshimu sheria waache uchomaji hovyo wa moto wakati wa uuandaaji wa mashamba kwani upo utaratibu mzuri kupitia wataalamu wetu waliopo kwenye kata wanaweza wapewa maelekezo juu ya namna bora ya kuteketeza masalia ya mazao katika mashamba yao.


Kwamujibu wa Meneja wa TFS - Missenyi Bw. Mrisho Juma alisema kwamba kushiriki katika maadhimisho haya moja kwa moja kwa kutoa miche ya miti 500 pamoja na kushiriki katika kuipanda ili kuweka  alama ya kumbukumbu  ya uhifadhi.

Aidha, alitoa rai kwa jamiii na wadau kuenndelea kushirikiana na serikali katika kuhakikisha wanalinda na kuendeleza rasilimali za misitu zilizopo nchini.

Alisitiza kwamba kwa mwaka wa fedha 2023/24 TFS ina mpango wa kusambaza miche laki moja ambapo mpaka sasa wamefanikiwa kusambaza miche elfu ishirini na mbili katika taasisi za serikali ikiwa ni pamoja na shule za msingi, sekondari  na watu binafsi.

"Nitoe rai kwa wananchi waepuke ukataji wa miti hovyo usiozingatia taratibu pamoja na kuacha tabia ya uchomaji moto hovyo ambao ni hatarishi kwa misitu tulionayom ambapo uchomaji huu umekua janga kubwa katika Wilaya yetu linalopelekea uharibifu mkubwa wa mazingira" Alisema Bw. Mrisho.

Maadhimisho haya yalihudhuriwa na watumishi wa taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali na wanachi wa Wilaya ya Missenyi na Kauli mbiu ya maadhimisho haya ni "Miaka 62 ya uhuru Umoja na Mshikamano ni chachu ya Maendeleo ya Taifa"

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa