• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

MISSENYI DC: UJENZI WA VYUMBA VIPYA VYA MADARASA UMEFIKIA ASILIMIA 98%

Posted on: November 27th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi leo tarehe 27 Novemba 2022 amefanya ukaguzi katika Miradi ya ujenzi wa Vyumba vipya 10 vya madarasa vinavyojengwa katika sehemu mbali mbali za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia kidato cha kwanza mwaka 2023.

Akitoa taarifa ya ujenzi Wakati akiwa katika shule ya Sekondari Kashenye Mkurugenzi Mtendaji amesema amefurahishwa na hatua za ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule hio ambapo wameweza kumaliza ujenzi kwa asilimia mia moja hata kabla ya muda uliopangwa kufika.

Aidha alitoa tathmini ya hali ya ujenzi kwa ujumla katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kwamba mpaka kufika leo hii ujenzi umefikia asilimia 98% kwa wilaya nzima isipokua shule hii ya Kashenye Sekondari wameweza kufikia asilimia 100%.

“Niwapongeze Shule ya Sekondari Kashenye kwa kufanya vizuri sana katika ujenzi kwani katika maeneo mengine tuliopita wameonekana kuwa na baadhi ya mapungufu kidogo ikiwemo kutowekwa kwa Viti na Meza ambavyo kwasasa vipo katika hatua za umaliziaji” Alisema Bw. Kombo

Aidha aliwaagiza wale ambao hawajafikia asilimia mia moja wahakikishe ndani ya siku mbili wanamalizia kwani muda tuliopewa ulikua mpaka kufikia tarehe 25 Novemba 2022 umeshakwisha.

“Nitoe rai kwa wazazi kwamba wasiwe na wasiwasi kuhusu vyumba vya madarasa kwani vipo tayari kwa ajili ya Watoto wetu  kusoma wawalete Watoto wao pindi ifikapo Januari 2023 ” Alisem Bw. Kombo.

Alimshukuru Mhemiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anaboresha sekta ya elimu kwa kutupatia vyumba hivi vya Madarasa.

Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari kashenye Mwl. Baraka Abel amemshukuru Mhesimiwa Rais na kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuboresha miundombinu ya kujifunzia na mazingira ya walimu kufanya kazi kwa ufanisi.

Ikumbukwe kwamba mwezi Septemba 2022 tulipokea shilingi milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba wa vyumba 10 vya madarasa katika shule 09 za Sekondari ambazo ni Shuleya Sekondari Bunazi, Gabulanga, Kakunyu, Bugandika, Buyango, Kashenye, Minziro,Kager ana Shule ya Sekondari Kilimilile.


Tarifa Kwa Umma

  • Online Content - inception report for CSA training programme in Kagera Region August 19, 2022
  • TAHADHARI YA EBOLA October 02, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 200 KWA AJILI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SEKONDARI October 05, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI TAREHE 08/11/2022. November 03, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UKAGUZI WA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.3 KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/23ROBO YA

    January 20, 2023
  • MRADI MPYA WA BOOST KUJENGA VYUMBA 12,000 VYA MADARASA

    December 22, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU

    December 09, 2022
  • MISSENYI DC: UJENZI WA VYUMBA VIPYA VYA MADARASA UMEFIKIA ASILIMIA 98%

    November 27, 2022
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • JINSI YA KUOMBA MKOPO KUTOKA BODI YA MKOPO
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa