• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MIRADI YOTE YA MAPATO YA NDANI IMEPELEKEWA FEDHA.

Posted on: April 23rd, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho amesema kwamba mpaka kufikia mwezi Februari, 2025 fedha zote za miradi inayotekelezwa kupitia 60% ya mapato ya ndani zilishapelekwa kwa asilimia 100.


Amebainisha hayo leo Aprili 23, 2025 wakati wa ziara ya Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25.


"Kwa mwaka wa fedha unaondelea tulitenga bilioni 3.7 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na tumeshapeleka zote mpaka kufikia mwezi Februari na leo tupo katika ukaguzi wa miradi ili kuona maendeleo ya miradi pamoja na thamani ya fedha" Amesema Tegamaisho


Aidha, amesisitiza kwamba miradi yote iliyotembelewa kwa siku ya leo inaendelea vizuri na thamani ya fedha inaonekana na amewapongeza wasimamizi wote kwa kuhakikisha miradi inajengwa katika ubora unaotakiwa.


Katika ziara ya leo Kamati imefika katika Tarafa ya Kiziba na kukagua miradi mitatu yenye thamani ya shilingi milioni 125 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ambapo milioni 35 zilitengwa kwaajili ya ukamilishaji wa Bwalo la Chakula katika shule ya Sekondari Buyango, milioni 50 zilitengwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya watumishi ya 03 in 01 kwa awamu ya kwanza katika kituo cha afya Kanyigo na milioni 40 zilitengwa kwaajili ya Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya Gera.


Ziara hiyo ya Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango itaendele kesho katika Tarafa ya Missenyi kwa kukagua miradi yenye thamani ya shilingi milioni 346.


Miradi aliyotaja Mhe. Tegamaisho ambayo itakaguliwa kwa siku ya pili katika tarafa ya Missenyi ni pamoja na Ujenzi wa Vibanda 17 katika Stendi ya Kyaka kwa shilingi milioni 90, Ukamilishaji wa Maabara tatu katika Shule ya sekondari Kilimilile kwa shilingi milioni 46, Ujenzi wa nyumba ya watumishi katika Zahanati ya Kashaba kwa shilingi milioni 50 na mradi mmoja kutoka Serikali Kuu wa Ujenzi wa nyumba za watumishi wa makao makuu ya Halmashauri zenye thamani ya shilingi milioni 160.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANA MISSENYI

    May 16, 2025
  • WATENDAJI KATA NA VIJIJI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUTOA ELIMU YA LISHE KWA JAMII

    May 14, 2025
  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa