• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.7 KUKAGULIWA

Posted on: July 17th, 2023

Leo Tarehe 17 Julai, 2023 Kamati ya Utawala, Fedha na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ikiongozwa na mwenyekiti wa kamati hio amabaye pia ni mwenyekiti wa halmashauri na Diwani wa Kata ya Kyaka Mhe. Projestus Tegamaisho imeanza ziara ya siku mbili ya kukagua miradi ya maendeleo katika tarafa mbili za Kiziba na Missenyi.


Miradi itakayotembelewa na kamati hio ina thamani ya jumla ya shilingi bilioni 3.7 ambapo katika tarafa ya Kiziba itatembelewa miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 2.1 na kwa tarafa ya Missenyi miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.64


Katika tarafa ya Kiziba miradi itokanayo na mapato ya ndani itakayotembelewa ni pamoja na Ukarabati wa mwalo wa Kabindi kwa shilingi milioni 13,Ukamilishaji wa Ofisi ya Kijiji Bukwali kwa shilingi milioni 8, Kuwezesha ukamilishaji wa ofisi ya kijiji Bweyunge kwa shilingi milioni 10,Kuwezesha ukamilishaji wa ofisi ya kijiji Kitobo kwa shilingi milioni 8.


Aidha, miradi itokanayo na fedha kutoka Serikali Kuu katika tarafa ya Kiziba ni pamoja na Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Omurushenye kwa shilingi milioni 40, Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika Shule ya Msingi Bugandika II kwa shilingi milioni 40, Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa Shule ya Msingi Bugandika Ikwa shilingimilioni 40 na Mradi wa maji Kashenye,Kanyigo na Mugana kwa awamu ya Kwanza kwa Tshs bilioni 1.8 kutoka PforR.


Hata hivyo, katika tarafa ya Missenyi miradi itakayotembelewa siku ya tarehe 18 Julai,2023 ya mapato ya ndani ni pamoja na Ukarabati wa soko la mazao Mutukula kwa shilingi milioni 40 na miradi mingone ni pamoja na Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa katika shule ya msingi Mutukula kwa shilingi milioni106.3 kutoka mradi wa BOOST,Ujenzi wa Shule mpya ya Msingi Bunazi "B" kwa shilingi milioni540.3 kupitia mradi wa BOOST.


Pia kamati itakagua miradi ya Ukamilishaji wa Ofisi ya Kijiji Mutukula kwa shilingi milioni 38.2 kupitia Bomba la Mafuta na Upanuzi wa mradi wa Maji Kibeokwa shilingimilioni 249.9 kutoka PforR.


Kamati itahitimisha ziara yake katika Kata ya Minziro kwa kutembelea miradi itokanayo na fedha kutoka Serikali Kuu ambayo ni ukamilishaji wa Zahanti ya Kalagara kwa shilingi milioni50 na Ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa,Ujenzi wa matundu 13 ya choo na Ujenzi wa mabweni 3 shule ya Sekondari Minziro kwa jumla ya shilingi milioni 617.3. 

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa