• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MAPATO YA NDANI: MILIONI 500 ZIMEKAMILISHA KITUO CHA AFYA KAKUNYU

Posted on: February 2nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila ameendelea na ziara yake leo tarehe 02 Februari, 2023 katika wilaya ya Missenyi katika tarafa ya Missenyi kata ya Kakunyu.Akiwa katika Kata ya Kakunyu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amefanya ziara na ametembelea barabara ya TARURA ya Kakunyu - Bugango yenye urefu wa kilomita 12.5 na Barabara ya TARURA ya Missenyi Ranch - Bugango yenye urefu wa kilomota 12 pamoja kutembelea eneo la mpaka wa Tanzania na Uganda katika kata ya Kakunyu katika eneo maarufu lijulikanalo kama jiwe namba 27.


Mhe. Chalamila ameweka jiwe la msingi katika kituo cha Afya cha Kakunyu kinachojengwa kupitia mapato ya ndani kilichopo tarafa ya Missenyi kata ya Kakunyu na kuzungumza na wanachi wa Kata ya Kakunyu

Mhe. Chalamila amesema kutokana na hatua nzuri ya ujenzi ulipofikia kwasasa nafanya ufuatiliaji ili tupate vifaa vya kuanzia angalau jengo moja lifungulie na kituo kianze kutoa huduma.

'Nawaagiza RUWASA kuhakikisha maji yanafika kwenye kituo hiki na TANESCO wahakikishe umeme unawaka kwenye kituo hiki' Alisema Mhe. Chalamila.

Kwa upande wa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Missenyi Mhe. Projestus Tegamaisho wakati akitoa ufafanuzi alisema Kata hii haikuwa na kituo cha Afya hivyo kupelekea wananchi kutembea umbali mrefu ili kupata huduma za Afya za ngazi ya kituo cha Afya na ndio maana Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi baada ya kubaini changamoto hii kwa mwaka 2021/2022 ilitenga shilingi milioni 500 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Kakunyu ili kuboresha huduma za afya.

Kituo hiki kinajengwa kwa jumla ya shilingi milioni 500 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya kujenga jumla ya majengo manne ambayo ni Jengo la Wagonjwa wa nje, Jengo la Maabara, Jengo la Wodi ya Wazazi, Jengo la kliniki ya Uzazi na Mtoto na serikali kuu imetoa shilingi milioni 90 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya watumishi (3 in 1)

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Kakunyu Mhe. Richard Mbekomize alishukuru baraza la madiwa kwa kuridhia kiasi cha shilingi milioni 500 kupelekwa Kata ya Kakunyu pamoja kuishukuru Serikali ya awamu ya sita inayo ongozwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi milioni 90 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya watumishi katika kituo hicho.

Kituo hiki kinatarajia kuhudumia jumla ya vijiji 4 na vitongoji 20 vyenye jumla ya wakazi wapatao 28,189 katika kata ya Kakunyu.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa