• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MAPATO : TUMEVUKA MALENGO KWA ASILIMIA 127 KWA MWAKA 2022/23

Posted on: August 4th, 2023

Mkutano baraza la Madiwani kwa robo ya nne katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi limefanyika kwa siku mbili ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kawaida wa kishera katika kujadili utekeleza uliofanyika kwa robo ya nne unaohitimisha bajeti ya 2022/2023.


Akifungua mkuata wa Baraza Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mhe Projestus Tegamaisho alisema kupiatia mapato ya ndani tulipanga kukusanya bilioni 4.8 na tukakusanya kiasi cha shilingi bilioni 6.2 ikiwa ni sawa na asilimia 127.


Alipongeza jitihada za Mkurugenzi Mtendaji pamoja na Wataalam wa wake, Kamati ya usalama ikiongozwa na Mhe Mkuu wa Wilaya pamoja na waheshimiwa Madiwani kwa kushirikiana kwa pamoja na kuhakikisha tunakusanya mpaka kuvuka malengo.


"Halmashauri yetu imehika nafasi ya 15 katika halmashauri zote kitaifa na mpaka sasa halmashauri yetu inatangazwa kila kona" Alisema Mhe Tegamaisho.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo aliwapongeza Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi na Wataalamu kwa kufanya vizuri katika usimamizi mzuri wa ukusanyaji wa mapato.


"Kwasasa tumeshika nafasi ya pili katika ukusanyaji ila walishika nafasi ya kwanza ambao ni Muleba tunaweza kuwapita mwaka huu wa fedha na kushika nafasi ya kwanza katika mkoa wetu" Alisema Kanali Sakulo.


Mheshimiwa Florent Kyombo Mbunge wa jimbo la Nkenge alipongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri jitihada za usimamizi wa miradi ya maendeleo pamoja na kumkaribisha sana katika Wilaya ya Missenyi ili tufanye kazi kwa pamoja na kuleta maendeleo katika Wilaya yetu.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Bw. John Paul Wanga aliahidi ushiriano zaidi pamoja na kutaja miradi ya kimakakati itakayoivusha Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kutoka makusanyo ya shilingi bilioni 6.2 ya mwaka 2022/20223 hadi kufikia bilioni 8.


Mkutano huu wa siku mbili utapokea na kujadili taarifa za kata zote 20 na taarifa za kamati za kudumu za halmashauri.



Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa