• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA USHAURI YA WILAYA YA MISSENYI YAPITISHA BIL. 56.8 YA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA 2026/2027

Posted on: February 20th, 2026

Leo Februari 20, 2026 Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Missenyi (DCC) imefanya kikao maalum cha kupitisha mapendekezo ya rasimu ya bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya shilingi bilioni 56.8 ambapo kiasi hiki ni ongezeko la shilingi bilioni 11.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026.

Akisoma Muhtasari wa makisio ya matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bi. Sylivia Mhandiki amesema Halmashauri imepanga kupokea, kukusanya na kutumia jumla ya shilingi bilioni 56,863,884,000.00/= kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa mishahara ni shilingi bilioni 31.5matumizi mengineyo (Ruzuku ya Serikali kuu) shilingi bilioni 1.5 miradi ya maendeleo (Ruzuku ya Serikali kuu na Wahisani) shilingi bilioni 8.8 na mapato ya ndani shilingi bilioni 14.8.

Aidha, kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Julius Kalanga Laizer ambaye ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Missenyi ameielekeza Halmashauri kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato na kuhakikisha inaongeza vyanzo vipya vya ukusanyaji wa mapato ndani ya Wilaya ya Missenyi.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa William .F. Katunzi uliopo katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa maendeleo, taasisi binafsi na Serikali, taasisi za kifedha, wawakilishi wa wafanyabiashara na wafugaji na baadhi ya Viongozi wa dini wa Wilaya ya Missenyi.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 05, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA (MKATABA) YA UDEREVA November 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA DEREVA November 14, 2025
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI NGAZI YA VITUO October 22, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA YA MISSENYI YAPITISHA BIL. 56.8 YA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA 2026/2027

    February 20, 2026
  • WATAALAMU WA LISHE WATAKIWA KUBORESHA HALI YA LISHE MISSENYI

    February 20, 2026
  • TUNAKAGUA MIRADI NA SIO KUTEMBELEA MIRADI

    January 27, 2026
  • NANAUKA AIPONGEZA MISSENYI KUTAMBUA UMUHIMU WA VIJANA KATIKA UKUAJI WA UCHUMI

    January 26, 2026
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa