• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

HAKIKISHENI ZOEZI LA SENSA LINAKAMILIKA NDANI YA MUDA ULIOPANGWA

Posted on: August 26th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Ndg. Waziri Kombo amewataka wasimamizi wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi kuhakikisha zoezi linakamilika ndani ya muda uliopangwa.

Aliyasema hayo wakati akizungumza na wasimamizi wa sensa wa ngazi ya Wilaya, wasimamizi wa Maudhui ngazi ya Kata na Watendaji wa Kata leo ofisini kwake wakati wa kutathmini maendeleo ya zoezi la sensa ya watu na makazi  lililoanza tangu 23 Agosti 2022.

Aidha aliwasisitiza wasimamiza wa zoezi kuhakikisha wanawasimamia Makarani ipaswavyo kwa kuhakikisha kila kaya inahesabiwa kikamilifu, kuhakikisha makarani wanafika kazini mapema, kuhakikisha Makarani wanafikisha idadi ya kaya iliyopangwa kwa siku, kuhakikisha Vishikwambi vinakua na chaji muda wote wa zoezi pamoja na kuhakikisha kila eneo linafikiwa ndani ya muda uliopagwa kwani hakutakua na muda wala malipo ya nyongeza.

Msimamzi wa zoezi la sensa ya watu na makazi kutoka ngazi ya Taifa alisema zoezi linakwenda vizuri na kuna maeneo yaliyomalizika na Makarani wanahamishwa kwenda maeneo ambayo bado hayajakamilika.

Aliwashukuru Jeshi la polisi kwa kuonyesha ushirikiano katika usiku wa kuamkia 23 Agosti 2022 majira saa sita za usiku kwa kuwapatia makarani ushirikiano mkubwa wa ulinzi katika kuhakikisha yale makundi maalum yanahesabiwa kama ratiba ilivyokua imepangwa.

Alisisitiza kwamba hakuna sababau yeyote ya kutomaliza ndani ya muda kwani hata maeneo ambayo hayana umeme makarani tunawapatia vifaa vya kuhifadhi chaji.

Aidha watendaji wa Kata walielekezwa kuhakikisha wanasimamia na kufuatilia zoezi hili ipaswavyo na kutoa taarifa pale wanapo ona mambo hayaendi sawasawa kwani wao ndio waratibu wa zoezi hili katika kata zao.

Kwa upande wake Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Missenyi Ndg. Joachim Joseph Nyanda alisisitiza juu ya kama kutakua na changamoto yeyote itolewe taarifa mapema sana ili ipatiwe ufumbuzi mapema pamoja na kuwakumbusha wasimamizi kwamba kazi iliopangwa inapaswa kumalizika ndani ya muda uliopangwa na hakuna malipo ya ziada.

Dodoso la sensa ya watu na makazi linapaswa kumalizika ndani ya siku saba kisha tuingie kwenye dodoso la majengo linalotarajiwa kufanywa ndani ya siku mbili na zoezi linatarajiwa mpaka kufikia 31 Agosti liwe limekamilika na kwa kaya ambazo hazijafikiwa wanaombwa kuendelea kuwa na uvumilivu na kuandaa taarifa zao ili karani akifika kwenye kaya waweze kukamilisha kwa uharaka.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa