• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DC SAKULO: WEKENI KUMBUKUMBU YA WATAKAO LALA USIKU WA KUAMKIA 23 AGOSTI 2022.

Posted on: August 22nd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo amewaongoza wananchi wa Wilaya ya Missenyi katika Matembezi ya Amani kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Sensa ya Watu na Makazi.

Matembezi hayo ya umbali wa takribani 05km yaliyofanyika katika Kata ya Kassambya kuanzia ofisi za TRA zilizopo kijiji Nyabihanga hadi Ofisi ya Kijiji Bunazi.

Akiongea na wananchi Kanali Sakulo baada ya kuhitimisha matembezi hayo, amewasihi wananchi kuhakikisha kwamba wanajitokeza kwa wingi ili kufanikisha zoezi hili muhimu kwa taifa letu.

“Dododso la kuhesabu watu litachukua siku zaidi ya moja hivyo inawezekana kaya zote zisifikiwe kwa siku moja, hivyo niwaombe wakuu wa kaya kuhakikisha wanaweka kumbukumbu ya watu wote watakao kua wamelala katika kaya husika usiku wa kuamkia 23 agosti 2022” Alisema Sakulo.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mh. Projestus Tegamaisho amepongeza maandalizi yaliyofanyika katika Wilaya nzima ukilinganisha na sensa zingine zilizopita.

“Niwapongeze sana kwa maaandalizi mlioyafanya maana kila kona ya Wilaya hii ukipita hata mtoto mdogo anakueleza kuhusu sensa, hivyo niwatake wana Missenyi kujitokeza ili tutie fora kwenye zoezi hili” Alisema Tegamaisho.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mama Tapita Tuvana alimhakikishia Mkuu wa Wilaya kwamba atahakikisha maelekezo yote yaliyokuwa yakitolewa na yaliyotolewa atayatekeleza kwa weledi mkubwa ili kuweza kuhakikisha zoezi la sensa linafanikiwa.

Aidha Afisa mipango Wilaya ya Missenyi Bw. Julian Tarimo aliwataka Wenyeviti wa vitongoji kuhakikisha wanaambatana na Makarani katika kila kaya ili kama kuna changamoto yoyote inayoweza kujitokeza waweze kupata utatuzi wake haraka iwezekanavyo.

“Niwaombe wakuu wa kaya wasiwafiche walemavu kwani mipango ya serikali inahusisha walemavu na takwimu hizo ni muhimu kwa Taifa” Alisema Tarimo.

Matembezi haya yamefanyika kukiwa kumebakia masaa machache ili kufanyika kwa zoezi la kuhesabu watu linalotarajiwa kuanza usiku wa kuamkia 23 Agosti.

Siku ya jana tarehe 21 Agosti 2022 makarani walifanikisha kukagua mipaka ya maeneo ya kuhesabia watu pamoja na kujaza dodoso la jamii linalohusika na kujaza huduma za kijamii zinazopatikana katika eneo husika kisha usiku wa leo kuanzia saa sita na dakika moja litafuatia dodoso la makundi maalum, na asubuhi yake dodoso la sensa ya watu na makazi na mwisho kabisa siku zitakazofuatia litakuja dodoso la majengo.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa