• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DC MISSENYI: WANANCHI CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA

Posted on: September 27th, 2022

Mkuu Wilaya ya Missenyi  Kanali Wilson Sakulo amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola ambao siku za hivi karirbuni umeripotiwa katika nchi jirani.

Ameyasema haya wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo amesema mpaka sasa ugonjwa haujaingia nchini hivyo huu ndio wakati muafaka wa kuhakikisha tunachukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo kuacha kupeana mikono, kunawa mikono mara kwa mara kama tulivyofanya kipindi cha CORONA.

“Tuendelee kusikiliza maelekezo yanayoendelea kutolewa na wataalam wa tiba katika Wilaya yetu ya Missenyi ikiwa ni pamoja na kuzingatia tahadhari zote zinazoendele kutolewa” Alisema Sakulo

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Bw. Waziri Kombo amesema tayari tumeshatenga kituo cha Afya cha Kabyaile kilichopo Kata ya Ishozi Tarafa ya Kiziba kitakachotumika kama kituo maalum kwa ajili ya Wagonjwa wa Ebola kama watapatikana.

Aidha Mganga mkuu wa Wilaya ya Missenyi Dk. Daniel Chochole amesema kwamba idara ya afya wamejipanga vyema na wako tayari kujitoa kupambana na ugonjwa huo kama utaingia nchini na hawatarudi nyuma na tayari wameshaunda timu mbalimbali ili kuhakikisha wanafanya kazi kwa kushirikiana kwa kiwango cha hali ya juu.

“Tumepokea vifaa na wataalam mbalimbali kutoka wizara ya afya na wanaendelea na ufungaji wa vifaa hivyo na kwa sasa tunaomba kuongezewa vifaa vingine kama magari maalum kwa ajili ya kubebea wagonjwa wa magonjwa yanayoambukiza kwa haraka ambayo ni tofauti kidogo na haya tulionayo na pia ikumbukwe kwamba magari haya tulionayo yakishatumika kwenye zoezi hili hayataweza kutumika kwa wagonjwa wengine ambao sio wa Ebola." Alisema Chochole

Ikumbukwe kwamba Wilaya ya Missenyi ipo umbali wa kilomita 155 kutoka Wilaya ya Mubende katika nchini ya Uganda ambayo imekumbwa na mlipuko wa Ugonjwa huu.

Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na kupata homa, maumivu ya misuli, kutapika, kuota vipele, kuharisha na kutokwa na damu hivyo pindi uonapo dalili hizi kwako au kwa mtu yeyote toa taarifa kwa viongozi wa karibu na maeneo uliopo au  kwa wataalamu wa afya waliopo karibu yako.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa