• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

BILIONI 1.9 KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI KATIKA KATA ZA KASHENYE, KANYIGO NA BWANJAI.

Posted on: February 12th, 2024

Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha utawala na Mipango Mhe. Projestus Tegamaisho ameongoza kamati ya Fedha, Utawala na Mipango katika ukaguzi wa mradi wa Maji wa Kashenye, Kanyigo na Mugana unaojengwa na mkandarasi M/S EFQ COMPANY LTD kwa gharama za shilingi bilioni 1.9 kwa awamu ya kwanza.


Akitoa taarifa ya mradi Bw. Erick Audax kwaniaba ya Meneja wa RUWASA Missenyi alisema mradi huu unatarajia kihudumia jumla ya wananchi 23,219 wa kata zote tatu ambapo Kata ya Kashenye wananchi 5,786, Kanyigo wanachi 9,547 na Bwanjai wananchi 7,886.


Aidha Bw. Erick alibainisha kwamba kazi zilizo fanyika mpaka sasa pamoja na Ujenzi wa tenki lenye lita za ujazo laki 2 umefikia 85%, Ujenzi wa Sump tank lenye ujazo wa lita elfu 50 umefikia 90%, Ujenzi wa jengo la ofisi ya Jumuiya ya watoa huduma ya maji ngazi ya jamii (CBWSO) umefikia 55%, Ujenzi wa vituo 5 kati 12 vya kuchotea maji sawa na 42%, Ujenzi wa Nyumba ndogo moja ya mashine ya kusukumia maji umefikia 90%, Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba kilomita 11.7 umefikia 60% na kufunga transfomer ya 500KVA kutoka urefu wa 3.78km kutoka njia kuu ya barabara ya umeme umekamilika kwa 95%.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati aliipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuondoa kero ya ukosefu wa maji safi na salama katika tarafa ya Kiziba pamoja na kuwasihi uongozi wa Kata ya Kashenye wahakikishe wanawaelimisha wananchi juu ya mradi huu na manufaa yake ili waweze kuulinda na kuutunza kwa maslahi yao na Kata jirani zitakazonufaika na mradi huu.


"RUWASA hakikisheni mnamsimamia vizuri mkandarasi ili aweze kukamilisha mradi huu ndani ya muda alioongezewa kwani mradi huu ni tegemeo kwa wananchi wa maeneo haya na maeneo ya Kata jirani" Alisema Mheshimiwa Tegamaisho.


Ikumbukwe kwamba mradi huu ulitarajiwa kukamilika 25 Novemba, 2023 na mkandarasi ameongezewa muda wa miezi mitatu na mradi unatarajiwa kukamilika mnamo tarehe 25 Februari, 2024.

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa