• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Baraza la Madiwani lafanya ziara Ilemela

Posted on: May 10th, 2017

Baraza la Madiwani pamoja na Watendaji wa Halmashauri ya Misenyi wamefanya ziara ya mafunzo katika  Manispaa ya Ilemela,Mkoani Mwanza kujifunza namna Manispaa hiyo inavyotekeleza shughuli zake za kimaendeleo hasa katika masuala yanayohusu ukusanyaji wa mapato ya ndani,Utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na suala zima la  mipango miji.

Ziara hiyo imejumuisha Baraza la Madiwani  pamoja na Watendaji  wa Halmashauri hii wakiongozwa na Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri hii Projestus Tegamaisho pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Limbe Bernad Maurice ambapo mbali na kufurahishwa na mapokezi mazuri amesema kuwa lengo la ziara ni kujifunza namna Ilemela inavyofanya shughuli zake sambamba na kuimarisha uhusiano baina ya pande hizo mbili kwa lengo la kuboresha utoaji huduma na kuleta maendeleo huku wakitumia gharama nafuu

‘’tunashukuru kwa mapokezi mazuri na kutupatia ushirikiano mkubwa, nia ya ziara hii ni kujifunza namna mnavyotekeleza shughuli zenu za kimaendeleo hasa kwenye mapato, mipango miji, utekelezaji wa miradi ya maendeleo’’ alisema

Aidha ziara hiyo ilihusisha matembezi ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na Ilemela ikiwemo mradi wa bweni la wasichana la shule ya sekondari Buswelu, mradi wa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi Buswelu na Mwalo wa soko la Kirumba ikitanguliwa na kikao cha pamoja cha Wataalamu na Waheshimiwa Madiwani wa pande zote mbili

Kwa upande wake mwakilishi wa Meya wa Manispaa Ilemela ambae pia ni Diwani wa Kata ya Buswelu Mheshimiwa Sarah Ng’wani ameshukuru kutembelewa na ugeni huo huku akitaka kuimarishwa kwa mahusiano ya pande hizo

‘’Ili tubadilishane mawazo wewe mwenzangu unafanyaje ni lazima tukae pamoja wataalamu wetu wamejipanga vizuri mjifunze na kupata picha halisi ya kinachotendeka ili kama kuna pahala mnakosea au tunakosea kwa pamoja tuweze kufanikisha’’ alisema

Akihitimisha Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa Ilemela John Wanga amezikaribisha pia manispaa nyengine kuja kujifunza na kuwahakikishia kuwa pamoja na upya wake Ilemela itaendelea kuwa manispaa ya mfano na kuigwa katika utekelezaji wa shughuli za kimaendeleo

‘’Ilemela ni manispaa mpya tunawakaribisha sana kujifunza iwe shughuli zetu za ndani au za nje’’ alisema

Tarifa Kwa Umma

  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2025 March 06, 2025
  • TANGAZO LA UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO WILAYANI MISSENYI March 03, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025 February 24, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIOKOSA MIKOPO KWA AWAMU YA KWANZA WAPEWE ELIMU

    April 30, 2025
  • WANANCHI MISSENYI WAASWA KUENZI MUUNGANO KWA VITENDO

    April 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJIRIDHISHA NA UTARATIBU WAKUBADILI JINA LA JIMBO LA UCHAGUZI NKENGE

    April 25, 2025
  • 60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

HALMASHURI YATOA VITI MWENDO NA FIMBO NYEUPE KWA WALEMAVU
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa