• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

60% YA MAPATO YA NDANI INAPELEKWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: April 24th, 2025

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imehitimisha ziara yake ya siku mbili leo katika tarafa ya Missenyi tarehe 24 Aprili,2024.


Ziara hio ya siku mbili, imekagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 471 ambapo miradi ya mapato ya ndani na Serikali Kuu.


Akizunguza mara baada ya kuhitimisha ziara hio Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mheshimiwa Projestus Tegamaisho alisema kwa siku ya leo tumekagua miradi minne yenye thamani ya shilingi milioni 346.


"Miradi mitatu ya siku ya leo tulio ikagua inatekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani yenye thamani ya shilingi milioni 186 na mradi mmoja wenye thamani ya shilingi milioni 160 ni kutoka serikali Kuu" Alisema Mhe. Tegamaisho.


Aidha alisema kwamba kwa robo hii Kwa sasa Halmashauri yetu inafanya vizuri sana katika makusanyo ndio maana tuna miradi mingi inajengwa kupitia mapato yetu sisi wenyewe.


Alosisitiza kwamba, Kati ya miradi saba tuliyokagua kwa robo hii, miradi sita tunajenga wenyewe kupitia ya mapato ya ndani kwa jumla ya shilingi milioni 321 na mradi mmoja pekee ndio unajengwa na serikali kuu kwa shilingi milioni 160.


Kwa upande wake Makamu mwenyekiti wa Halmashauri na mjumbe wa kamati ya Fedha, Utawala na Mipango Mhe. Domician Nshambya alimpongeza Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kusimamia vyema upelekaji wa fedha za miradi kama tulivyopanga kwenye bajeti.


"Napenda kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri pamoja na wataalam wake kwa kusimamia vyema miradi kwa ubora wa hali ya juu" Alisema Mhe. Nshambya.


Ikumbukwe kwamba Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kwa sasa ni moja kati ya Halmashauri zenye mapato makubwa ambapo Halmashauri zenye mapato makubwa zinapaswa kupeleka asilimia 60 ya mapato yake katika miradi ya maendeleo.


Miradi iliyokaguliwa kwa siku ya leo ni pamoja na Ujenzi wa Vibanda 17 katika Stendi ya Kyaka kwa shilingi milioni 90, Ukamilishaji wa Maabara tatu katika Shule ya sekondari Kilimilile kwa shilingi milioni 46, Ujenzi wa nyumba ya watumishi katika Zahanati ya Kashaba ya 03in01 kwa shilingi milioni 50 kwa awamu ya kwanza na mradi mmoja kutoka Serikali Kuu wa Ujenzi wa nyumba mbili za watumishi wa makao makuu ya Halmashauri zenye thamani ya shilingi milioni 160.


Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa